kwa habari nilizopokea hivi punde msanii wa kaole aitwae mlopelo amefariki duniani

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
63852_456674927711403_934986115_n.jpg

hizi habari nimepokea kutoka kwa mmoja wa wasanii wa kaole,kama ni kweli mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amen
 
aiseeeeeeee babaangu huyu jamaaa nadhibitisha kwa umakinini kabla hatujaanza kusema mungu aipumzishe roho ya marehemu milele amin
 
alikuwaga anaigiza kama kibwengo au mchawi yeye na bi Mwenda, dah RIP Mlopero, i remember those days.
 
Back
Top Bottom