kwa habari nilizopata msanii mwingine wa bongo movie ameaga dunia leo ni JOHN ( BIG JOHN)

399313_403799203024190_1586645886_n.jpg mungu amlaze pema peponi amen
 
Dah nilishtuka sana nilipopata updates bbm
ni mmoja kati ya wasanii wachache walioenda shule anabachelor ya taxation
dah
 
APEPE - Alale Pema Peponi, John!
Tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom