Kwa GT: What if ktk mnada Bombadier inauzwa hivi kwa wabongo?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Well, sio mbaya nikiwashirikisha wenzangu ktk fikra zangu za sauti kubwa.Nadhani tutakuwa tumejiongeza kifikra na kujenga mazingiza ya kujiandaa kwa situations mbalimbali. Well, Ingawa kwa sasa bombadier yoyote itakayoingia nchi kupitia mmiliki mwingine asiye serikali lazima habari zijae mijadala.Interest yangu ipo hapa kujua public and Regime reactions.Najua mtu akimtonya Uhuru hii issue nae anaweza on sio bad idea ila tungalie hizi situations na dynamics zitakavyochange ktk nchi yetu km kubadili gear angani vile :

1.Akinunua Gwajima?

2. Wakinunua wamiliki wa makampuni ya ndege ila sio ATC?
Precisonair?Reginal? Fastjet,Air Excel? Kuna matokeo tofauti hapa.

3. Akinunua Bakhresa?

4. Akinunua Manji?

5.Akinunua MO.

6.Akinunua Azam?

7.Akinunua Mengi?

8.Akinunua Lowasa?

9.Akinunua Sumaye?

10. Akinunua Mbowe?

11.Akinunua Tundu Lissu na marafiki zake?

12.Wakinunua Familia ya Ndesa ili Kumuenzi mzee wao?

13.Akinunua Sabodo?

14. Akinunua Mramba?

15.Anunue KIMEI?

* Au ze bad boy ME nikashinda Grand betting(SportPesa+nikashinda kamari zote za makasino nchini na vibanda vya ,slots)+Nikawauzia watu chai wakaniamini kuwa niwemsimamizi + nikauza mbuzi zote za ukoo kisha nikatokeea from nowhere na kubdi chap chap km Jim ktk the MASK ?

Jamani sioni km ni impossible kwa hiyo naomba tujielekeze kwenye details za reactions kwa itakayomkuta mtu maalumu ktk hawa hapo juu.Mzigo very soon utakuwa sokoni.Na kuna watz kwa sasa wengi tuu wanaweza pull mzigo huo wenyewe au hata kupiga donation wa 2 ,wa 3 hivi.NOTE: hiyo ndege ikuzwa ktk mnada inaweza uzwa bei ndogo kwa mdau mwingine asiye hii serikali kupitia mnada.Inaweza uzwa kwa bei hata kurudisha hela zao bila riba km ila bei yaokm ilikuwa overpriced bado hela yao itakuwa na faida.Halafu hiyo riba ibaki waendelee dai hii serikali km akiba ya kuja wa embarass in the future
 
Wale wazalendo wa lumumba watadai sio mzalendo!
Mkuu nashukuru kwa mchango ila ungemalizia kidogo kwa kutaja mtu na reaction itakayokuja . Nadhani unaweza tofauti akinunua Gwajima muda huu, na akinunua manji muda huu na kwa style gani?Au akinunua tundu lissue na washikaji zake wanasheria kadhaa, au Lowasa. Au Mengi au Azam.
 
Uzuri wa mnada ni kwamba ukihitaji na ukawashinda wanunuzi wengine unapewa mali .
 
Uzuri wa mnada ni kwamba ukihitaji na ukawashinda wanunuzi wengine unapewa mali .
Mfano Manji ainunue kimya kimya na kusema ataikodisha ATC muda mrefu? AU anunue hadharani na kutangaza anataka kuanza endesha shirika la ndege. ?Matokeo yatakuwa sawa?
 
Mfano Manji ainunue kimya kimya na kusema ataikodisha ATC muda mrefu? AU anunue hadharani na kutangaza anataka kuanza endesha shirika la ndege. ?Matokeo yatakuwa sawa?

Magufuli hatakubali hiyo ndege kukodishwa kwa ATCL.
 
Magufuli hatakubali hiyo ndege kukodishwa kwa ATCL.

Ikikodishwa inaweza pakwa rangi kwa hiyo TBC na UHURU wanaweza andika chochote kwa umma.

Ikiwa kimya kimya km waziri alivyotaka wanaweza tangazia umma watakalo.

Je waziri akivutiwa na hiyo option wataweka vipingamizi?Je itashawishi hatma ya Manji ?

Je akinunua kwa ajili ya kampuni yake binafsi,je nayo itachangia kushawishi hatama yake kwa upande gani?

All in all ununuzi wa hiyo ndege kwa hao watu ni km kufanya maamuzi tuu.Sasa km hatokubali atakubali vipi?
 
Swali fikirishi...
Lazima tufikiri hivyo ,wacanada wanaweza amua pelekesha watu race kabisa.Hadi sasa wanapanga karata zao vyema. wanacheza maeneo yenye stake kubwa ktk PR ya wazee wa bombadier na makinikia.Na pia hawatapenda uza mahali pengine ili wapate namna ya kutoa adhabu ya kisiasa km walivyofanyiwa ktk macho ya watanzania. Na kam ni Vita ya PR basi ikiuzwa TZ mechi itaendelea kwa namna ingine.
 
ha ha ha
Ukinunua hiyo ndege utakuwa umejibebesha mzigo. Itakuwa inasakwa kama viongozi na wanachama wa upinzani (CHADEMA) Utapewa masharti kama ya mganga wa kienyeji
halafu kila siku TRA wanadai mapato. Itakuwa ina kaguliwa na polisiccm kila siku na usishange ukaambiwa imekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya
Bora uipeleka kenya siyo Tz. Mzee wa hasara lazima amtume ccWakudadavua na ccLizaboni wakaichome moto
 
Back
Top Bottom