Kwa GPA hii anaweza kupata nafasi UDSM?

mind bringer

Senior Member
Oct 19, 2017
108
195
Wajumbee wa UDSM toeni ushaurii hapa!

Kuna dogo amepata GPA ya 3.4 anawish ku-apply UDSM, vp anaweza kupata au utapoteza 10000 yake amemaliza chuo cha Ualim, anataka akachukue kozi ya Mathematics and Statistics.
 

Johnnybravo

Member
Nov 29, 2019
21
45
sure @bringer ndo ivo mdau sikuhizi hkn mtu anayechambua izo form mambo yote yanafnyw Na system (randomly selection) but wenye system yao ndo wanaipitia km iko poa fresh km inachagua ndivyo sivyo wanarekebisha mara moja
So katika pita pita zng wadau wa udsm wanasema system inatumia criteria hii hapa ili kukupatia wewe admission
i.)form four results (higher is better) mambo ya one na two
ii.)number of form 4 sittings(lower is better) hapa wanaangalia km ume-resit paper
iii.)acsee/diploma results (higher is better)
iv.)if by chance the above are matching exactly the same then earlier is better(hapa aliye omba mapema):- kama kuna nyingine wadau wasisite kuongezea.
 
  • Thanks
Reactions: p2k

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom