kwa golikipa huyu (de gea) man utd tutamkumbuka vande sar kwani ni hatari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa golikipa huyu (de gea) man utd tutamkumbuka vande sar kwani ni hatari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Aug 7, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hadi dk.45 kipindi cha kwanza man city wanaongoza kwa 2-0! Dhidi ya man utd! Magoli yote ni uzembe wa kipa,na mimi toka wakati anasajiliwa nilitia shaka sana.wapenzi wenzangu wa man utd kazi tunayo!hamna ki2u mle.mpira tunacheza sisi wakiachia shoot goli!
   
 2. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kazi mnayo naona hapa mnavyo nyanyaswa wana Man U
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hi Yamerudi huyu GK akifungwa tena tunamdunda
   
 4. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pamoja na hayo lakini tumeshinda;man C 2-man U 3
   
 5. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lets give him time atakuwa poa anaweza asiwe kama Peter Schmeichel au Edwin Van Der Sar but he has a lot to prove, tungoje ligi ianze
   
Loading...