bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Poleni Sana PSG naona jana ni mwendo wa Mateka mikono juu,Kwa game ya jana Naona Barcelona walikua wakilindwa na VIKOSI VYA UMOJA WA MATAIFA,Ukimgusa mchezaji tu Penati Ukikoswa penati Faulu ukikoswa faulu kadi Ya Njano.
Ila PSG nao walishindwa kukaza tume iundwe kuchunguza wale wachezaji wa PGS utadhani timu haina Kocha au wachezaji wengi watakua wanatumia vyeti Bandia wachunguzwe.
Kitu ilikua Kama Ndoto ile ila bora Barca wakibebwa wanabebeka sio kama wale jamaa zangu wa jumla kuu 10-2=8
Naona Barca akikutana na Bayern Munich the Bavarian.