Kwa fursa za kazi za ujenzi nashauriwa niende Jijini Dodoma

Kategele

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
968
2,230
Mimi ni mhandisi kada ya ujenzi nimekuwa natafuta kazi sehemu mbalimbali kwenye makampuni ya ujenzi na taasisi tofautitofauti.

Wadau wanashauri nikajichanganye Dodoma kuna fursa nyingi, wenyeji wa Dodoma hebu nipeni michongo nikifika Dodoma nijichanganye sehemu zipi ili niweze fanikisha kupata kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu atakuja ku comment kuwa
"Watakuja wenyewe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mhandisi kada ya ujenzi nimekuwa natafuta kazi sehemu mbalimbali kwenye makampuni ya ujenzi na taasisi tofautitofauti.

Wadau wanashauri nikajichanganye Dodoma kuna fursa nyingi, wenyeji wa Dodoma hebu nipeni michongo nikifika Dodoma nijichanganye sehemu zipi ili niweze fanikisha kupata kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watafute Bams International wanatenda ya kujenga Msalato Airport.
Ukipata kazi kwa hao jamaa utakuwa umelamba dume,wanalipa vizuri.
 
Back
Top Bottom