At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Ajipeleke kambi yoyoteJamani nlikua nauliza Kama Mtu umemalza kidato Cha 6 afu haujachaguliwa na Ungependa uende kujiunga na vijana wenzio inabidi ufanyejee ?!
Ajipeleke kambi yoyoteJamani nlikua nauliza Kama Mtu umemalza kidato Cha 6 afu haujachaguliwa na Ungependa uende kujiunga na vijana wenzio inabidi ufanyejee ?!
Oh! ko calvary anaeza ukapokelewa ?;Ajipeleke kambi yoyote
Yeah unapokelewa bila shakaOh! ko calvary anaeza ukapokelewa ?;
mjomba unaumwaVp wale PC
We jipeleke tu kambiniManaake nmemalza mwaka huu lakin baadhi yet tumeachwa asa nlikua naulza Kuna process yoyte unaeza kufanya au unaeza tu kwenda kambini ?!
Dah! Bac xawa Blood pamoja...Yeah unapokelewa bila shaka
Hahahaha... Bin salum nimekupataWe jipeleke tu kambini
Mpwapwa haifunguki aisee,Mwenye majina ya waliochaguliwa mpwapwa jkt msaada please.
Mpwapwa haifunguki aisee,
Dah! Nataman nikutumie majina ila kwa hapa sioni sehem yakutumaMpwapwa haifunguki aisee,
Jamani nlikua nauliza Kama Mtu umemalza kidato Cha 6 afu haujachaguliwa na Ungependa uende kujiunga na vijana wenzio inabidi ufanyejee ?!
Fungua hyo attachment View attachment MPWAMPWA-1.pdfMwenye majina ya waliochaguliwa mpwapwa jkt msaada please.