Kwa form 4 na wapenda elimu kwa faida ya taifa letu soma hapa tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa form 4 na wapenda elimu kwa faida ya taifa letu soma hapa tafadhari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mfukoz, Feb 13, 2012.

 1. m

  mfukoz Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yah: UTAMBULISHO WA CHUO - MUST COLLEGE

  Mugerezi Spatial Technologies – MUST College ni Chuo kilichosajiliwa na VETA na kinatoa masomo ya mwaka mmoja katika fani mpya ya “Spatial Information Technologies” mafunzo yanatolewa kwa Mfumo wa Umahiri (Competence skill) kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne. Chuo kipo Ghorofa ya 2, Jengo la Ubungo Plaza, Morogoro Road, Dar es Salaam.

  Kiwango cha chini cha kujiunga na Chuo ni Div. IV, na masomo ni ya mwaka mmoja ambao una mihula mitatu. Ada ya shule kwa kila muhula ni shs. 400,000/=. Chuo kina Hostel kwa wanafunzi wanaohitaji na gharama ya Hosteli ni Shs. 40,000/= kwa mwezi.

  Baada ya kuhitimu, wanafunzi wataweza
  (a) kujiajiri wenyewe
  (b) Kuajiriwa kwenye ofisi mbali za serikali na binafsi
  (c) Kujiunga na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE.

  Kwa kuwa fani hii ni mpya,unakaribishwa kutembelea Chuo chetu ili kupata maelezo ya kina juu ya fani hii mpya kwa wanafunzi , wazazi ,walezi na wananchi wote kwa ujumla. Pia kutumia nafasi hii kuwapelekea ujumbe wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na ambao hawatafanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha 5, ili waweze kujiunga na Chuo hiki cha MUST kinachotoa fursa mpya.

  Tunatanguliza shukurani kwa msaada wako na pia kukukaribisha kutembelea Chuo chetu.

  Kwa mawasiliano zaidi tembelea website yetu:MUST College
  Email:info @must.ac.tz
  Phone:+255222461212
  Mob:+255713730509
   
Loading...