Kwa flow, nilimkubali zaidi Big kuliko 2pac...

PAC na BIGGIE SMALLS kila mmoja alikuwa na uwezo wake kipekee.

Kwahiyo huwezi kuwaweka wawili hawa pamoja, na kuwashindanisha nani zaidi?

Utapotea.

Kila mmoja alijaaliwa kitu adimu ambacho mwenzake amekikosa.

Ukiniuliza nani zaidi kati ya PAC na BIGGIE SMALLS, jibu la haraka nitakupa PAC.

Ila nikimsikiliza BIGGIE SMALLS jinsi anavyoondoka mistari yake kiufundi na kwa namna yake, hapa inabidi niwe Matawi ya chini, BIGGIE SMALLS anatisha.

Ukisikiliza ALBUM yake ya kuitwa READY TO DIE, vibao vilivyomo ndani ya ALBUM hiyo kwa kweli Michano yake ni hatari.

Hebu niambie VIBAO kama Everyday struggle, One more chance, Big poppa, Gimme the loot.
Hivi VIBAO ni vikali mno.

Hebu sikiliza kibao chake cha kuitwa JUICY ndio utajua BIGGIE SMALLS ni moto wa kuotea mbali:-
 
kwa flow big alikuwa mtamu nakubaliana na wewe ila usitafute dhambi za kumfananisha nguli tupac na bonyenye katika kigezo kingine chochote!na pia usijidanganye kama swagger za flowing ndo zinampa mwana hip hop heshima ya nyota tano....tupac hakutegemea vionjo vya r n b kunogesha nyimbo zake alivyokuwa anafanya biggie au kutumia sampling hits za malegend! alikuwa anatumia beat ngumu lakini hata wasiyopenda ngumu walipenda nyimbo zake,ujumbe katika nyimbo zake uliitoa hip hop mtaani na kufanya serikali warecognize hip hop,alikuwa anaweza kuteka hisia ya msikilizaji wa nyimbo zake pindi haki inapokesana na kumpa maumivu ya hisia msikilizaji.....tupac made biggie!bila beef na tupac,biggie ni kimada katika hip hop!
woord! Kama hiyo ya kufanya sampling nilimvunjia heshima BIG japokua alikua mkali kwenye flow ila 2pac alimfunika kila mahali...
 
Biggie & Pac were the greatest on Hiphop. Siwezi sema nani mkali zaidi ya mwenzie maana wote nawakubali.
Flows ziko tofauti, but biggie was smooth sana kwa booth. Pac alikuwa na aggressive flows.

Top Tracks:
Big poppa - Biggie smalls
Hypnotize - Biggie smalls
Juicy - Biggie smalls (nadhan hii ndo ilikuwa sampled)
Resepect - Biggie smalls

California love - Pac
Dear mama - Pac
You cant see me - Pac
This life i lead - Pac ft. Outlawz
2 of Amerikaz most wanted - Pac ft Snoop Dogg
 
Huenda siufahamu vyema muziki wa hip hip...
Ila ukiniuliza ni nani GOAT katika muziki wa hip hop,nitakujibu hakuna kama EMINEM..!
Sijui ilikuaje mpaka jamaa akazaliwa mzungu..!
 
Biggie mkali wewe, hebu ckiliza player's anthem au ten crack commandments au.....halafu kwa michano ile uniambie ka kuna mjinga anatia maguu, Biggie ana sauti ya mamlaka! Biggie ni numero uno.
Ukitaka kujua big he got flows,,isikilize Machine Gun Funk
 
Biggie mkali wewe, hebu ckiliza player's anthem au ten crack commandments au.....halafu kwa michano ile uniambie ka kuna mjinga anatia maguu, Biggie ana sauti ya mamlaka! Biggie ni numero uno.
Your understanding is away by far ..
 
PAC na BIGGIE SMALLS kila mmoja alikuwa na uwezo wake kipekee.

Kwahiyo huwezi kuwaweka wawili hawa pamoja, na kuwashindanisha nani zaidi?

Utapotea.

Kila mmoja alijaaliwa kitu adimu ambacho mwenzake amekikosa.

Ukiniuliza nani zaidi kati ya PAC na BIGGIE SMALLS, jibu la haraka nitakupa PAC.

Ila nikimsikiliza BIGGIE SMALLS jinsi anavyoondoka mistari yake kiufundi na kwa namna yake, hapa inabidi niwe Matawi ya chini, BIGGIE SMALLS anatisha.

Ukisikiliza ALBUM yake ya kuitwa READY TO DIE, vibao vilivyomo ndani ya ALBUM hiyo kwa kweli Michano yake ni hatari.

Hebu niambie VIBAO kama Everyday struggle, One more chance, Big poppa, Gimme the loot.
Hivi VIBAO ni vikali mno.

Hebu sikiliza kibao chake cha kuitwa JUICY ndio utajua BIGGIE SMALLS ni moto wa kuotea mbali:-

Thank You!
Na kukata mzizi wa fitna.
Tusema Biggie was the king on East side and Pac was, on West side..
 
Wengi inawezekana hamjui, ila Biggie alipewa style na theme ya "Ready to Die" album na Tupac. Tupac anaielezea hii vizuri sana kwenye mahojiano aliyofanya na Sway.

Hip-hop ni zaidi ya kuchana (flows), ni jumbe, misimamo, tabia, kuelewa, ushawishi, n.k. Tupac kamuacha Biggie kwa kila kitu isipokuwa michano, na mkumbuke Tupac alikuwa akirekodi nyimbo zaidi hata ya 3 kwa siku kwa hiyo hakuwa na muda wa kupanga michano wala kutafuta midundo ya kuvutia, alilenga tu kufikisha jumbe zake.

Chidi Benz anaweza kuwa anachana vizuri kuliko Mwana FA, ila haimaanishi yuko kiwango cha FA.
 
Back
Top Bottom