Kwa flow, nilimkubali zaidi big kuliko 2 pac... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa flow, nilimkubali zaidi big kuliko 2 pac...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kwamex, May 29, 2011.

 1. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tukiachilia mbali suala la ujumbe waliokuwa wanautoa na tutege sikio kusikiliza muziki wao na hasa flow, naona BIG alikuwa mkali zaid ya PAC....Kiukweli wangekuwepo had kizazi hiki cha rap, kwa 'swagger' za kuflow BIG angestahili heshima ya nyota 5 na PAC * 4, Heshima kwao...R.I.P to all the great hip hop legends!
   
 2. LebronWade

  LebronWade JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Biggie is so gifted that he has no flaws at all...2pac is just a very serious compser and charsmatic speaker and leader...ila tukisema music art as art,Biggie is rated as number one G.O.A.T...flow yake huipati kokote even on this generation...Biggie would last longer in the market than 2pac,seriously.......yaani kama ni darker,gangstarr stuff,ni doper than Pac,kama ni smoother stuff ni doper than Pac..R.I.P Biggie and Pac
   
 3. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Appreciate 100%, Big deserves 5* kila idara.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,028
  Trophy Points: 280
  Biggie Small ni noma
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Pac ni mfalme kwa kila kona ya hiphop,alitimiza nguzo zote za hiphop big ni boya tu kwa pac!
   
 6. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Biggie mkali wewe, hebu ckiliza player's anthem au ten crack commandments au.....halafu kwa michano ile uniambie ka kuna mjinga anatia maguu, Biggie ana sauti ya mamlaka! Biggie ni numero uno.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,028
  Trophy Points: 280
  Thats why akaitwa King of NY
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  pac kwangu mimi ni habari nyingine..
   
 9. t

  tambarare Senior Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ku flow tu fine sasa mie nafikiri hiyo ni category ndogo sana ukitaka kuwalinganisha watu,pac was much in lyrics and other kind of staff......ukisikiliza interview ya biggie baada ya kifo cha pac anakiri mwenyewe kuwa pac anasema nimemwibia tungo zake ukweli ni kwamba" ushauri alokuwa ananipa ndo niliotumia kutengeneza biggie small ready to die"naye namkubali pia
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapo tuko pamoja mkuu,....pac juu
   
 11. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  4 real, Biggie ni mfalme sio tu NY bali wa michano kijumla.
   
 12. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  YAP! kweli Pac kwa lyrics mkali ,ila michano Big no. 1.
   
 13. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  2Pac ni mkali zaidi nionavyo mimi
   
 14. serio

  serio JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  daah, its 15 years down the memory lane now, but you havent been forgotten at all,.
  RIP PAC.!!
   
 15. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Talkn bout Greatest rappers of all tym... they are unforgetable, but Biggie!!! should be nr one no doubt. R.I.P Biggie, r.i.p Pac.
   
 16. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ah wewe pac habari nyingine kabisa. Nini biggie kwa pac bana.

  1. Nani alikua ana hit singles nyingi zaidi?

  2. Nani aliuza nakala nyingi zaidi?

  Nadhani ukijibu haya utajua nani alikua na flow ya hatari zaidi. Jibu liko wazi ni pac.

  Afu wasema flow ya big huipati kwa mtu yeyote yule, kivipi? Kwamba ilikua unique sana? Wamkumbuka shine? Mbona katembelea flow ya biggie kwa sana tu?
   
 17. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Heshima yako mkubwa kweli we mdau wa hiphop,me mwenyewe napenda sana BIGflows kuliko PACflows.All in all wote ni malegends R.I.P big,pac
   
 18. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa, hit singles na kuuza nakala nyingi its ok..lakini kwa flow kali Biggie ni noma na ndo maana hata Shyne akacopy style, Pac kipaji cha kuandika ni mkali thats y alkuwa na ngoma nyingi zaidi na personality ilimuuza zaidi ila kuchana heshima kwa Biggie.
   
 19. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We ni mkaree, kiukweli heshima kwao zinakuja big G nyingi kwenye hip hop tunatafuna, tunatema ila hawa majamaa hawatemeki.
   
 20. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kwa flow big alikuwa mtamu nakubaliana na wewe ila usitafute dhambi za kumfananisha nguli tupac na bonyenye katika kigezo kingine chochote!na pia usijidanganye kama swagger za flowing ndo zinampa mwana hip hop heshima ya nyota tano....tupac hakutegemea vionjo vya r n b kunogesha nyimbo zake alivyokuwa anafanya biggie au kutumia sampling hits za malegend! alikuwa anatumia beat ngumu lakini hata wasiyopenda ngumu walipenda nyimbo zake,ujumbe katika nyimbo zake uliitoa hip hop mtaani na kufanya serikali warecognize hip hop,alikuwa anaweza kuteka hisia ya msikilizaji wa nyimbo zake pindi haki inapokesana na kumpa maumivu ya hisia msikilizaji.....tupac made biggie!bila beef na tupac,biggie ni kimada katika hip hop!
   
Loading...