Kwa first years wote wanaokwenda UDOM kuchukua BSEICT

Omari Issa

Senior Member
Jul 26, 2012
168
45
Jamani kwa yeyote ambaye kachaguliwa udom kusoma BED-ICT,naomba anisaidie kuondoa utata,huu nimechaguliwa ktk prgm hii na nimefanikiwa kupata mkopo wa Tshs.3777500 tution fee ni 1.2ml, kutokana na michanganuo ambayo WANA-JF mbalimbali wametoa nimecalculate na kujikuta kiasi ambacho nadaiwa na chuo ni Tsh.155500 tu,
at the same time jana nilikuwa napitia majina ya watu wote ambao wamechaguliwa ktk kozi hii nikaona kuna mtu kachaguliwa na kapata mkopo wa Tsh.3997500,nikirudi kwny calculation za hapo juu najikuta,mimi bado nadaiwa mapesa mengi,
najua kuwa kuna mchanganuo tunausubiri toka chuo lakini kwa mwny ABC..... yoyote naomba anisaidie
1.JE KIPI KIASI MAALUMU AMBACHO SISI TUNATAKIWA KULIPA maana tarehe ya usajili is utmost around the corner,
2,JE KUHUSU SPECIFIC FACULTY REQUIREMENTS, kozi hii BED-ICT inazo?kama zipo jumla ya costs yake ni ipi?
 
Natoka nje ya maada,naomba kufahamu tutafikia college gani,kati ya college ya education au college of informatics and virtual education
 
Natoka nje ya maada,naomba kufahamu tutafikia college gani,kati ya college ya education au college of informatics and virtual education

obviously itakuwa ni college of education coz hata kwny admission letter imeandikwa hivyo
 
duuh nakuonea wivu unaenda kulala udom average40% , hahahaha hapo ni kulala tu hamna supp
 
Back
Top Bottom