mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,015
- 49,153
Wanasema mwanamke ni tabia sijui mwanamke sura sawa lakini kikubwa ni uwezo wa akili wa mwanamke.Kuna jamaa mmoja alikuwa na akili sana ila ana sura ngumu,akaamua kuoa mwanamke mrembo mwenye akili za kuunga unga (kilaza) akitegemea watoto watachukua sura ya mama yao na akili zake.
Kilichofuata ni watoto kuchukua sura ya baba na akili za mama niliwahi kuwa na mwanamke fulani mrembo sana ila hapendi kuchat yeye ni kutwanga tu, kumbe kusoma shida, nilivyomstukia nikamuonyesha herufi D nikamwambia anitajie inaitwaje akasema hii kama sio B ni D.
Kuna wanaume wana hela na bongo zao ziko fresh wanapeleka watoto St. nini sijui lakini toto alihelewi, toto linatafutiwa twisheni saba lakini wapi kumbe limechukua akili za mama yake.
Kuna watu wanapata shida ya maisha hapa mjini wanailaumu serikali kumbe walitakiwa kuwalaumu baba zao kwa kuoa wake vilaza na wakajikuta wamerithi ukilaza.
Tafiti ziko wazi kuwa watoto wengi hurithi genes za akili toka kwa mama zao
hivyo pamoja na sura na tabia tuangalie bongo za hawa wanawake wa kuzaa nao.
(N.B neno kilaza limetoholewa toka kwa mwanamziki Juma kilaza aliyejifanya anauwezo wa kupiga gitari kuliko Mbaraka mwinshehe lmiaka ya 1970 akini siku waliposhindanishwa akaonekana kuwa na uwezo mdogo sana tangu hapo watu wenye uwezo mdogo huitwa kwa jina lake)