Kwa entrepreneur ingia hapa kidogo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,432
Well kwa wale wajasiriamali wadogo wadogo au hata wakubwa hii ni yenu.
Naomba kujitambulisha kwa jina Naitwa Felix naishi dar esalaam .
Mimi niliwahi kua na dreams za kua na biashara yangu kubwa tuu. Na najua most of us tunazo. Swali, do you know that instagram can be a good shop for your business/Je unajua instagram inaweza ikawa duka zuri kwa biashara yako?
Kwa wanaoelewa umuhim wa instagram kibiashara basi nawaletea/na kuwatengenezea business class instagram account for cheap prices. Kwa wale ambao bado hawajajua nitafuteni niwajuze kabla hujaamua kununua account ...
Karibuni sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom