hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,116
hoja zako zinamashiko sana " ila kuna watu watakupinga "...Mkuu ni kwelu, lkn hiyo 280,000 kipindi hicho sio ela ndogo, inaweza kuwa ina thaman na 13M ya sasa.
Hata fixed acc bank mpaka sasa pengine ingekuwa zaidi ya 20M sasa.
Nilichikuwa nachomaanisha, gari inaweza kukupa ela zaidi kuliko nyumba.
Kuna jamaa angu kanunua IST, kampa dogo afanye uber kwa siku hesabu ni 30k. Ile gari imezaa ist nyingine na bado iko vzr.
Just imagine gari ya 10M inakuletea around 700k kwa mwezi, wkt nyumba itakayokuletea 700k kwa mwezi thaman yake si chini ya 70M
Sent using Jamii Forums mobile app