Kwa Division III ya mwanzo ya mwaka 2011, form six aombe chuo gani?

Kinachoangaliwa ni cutting point ambazo D mbili nadhan kwa sasa. Je unazo? Km unazo ruksa
 
Au unataka ufaulu ,E =E, G=D,M,,=D
Mkuu hapo mwambie ajiandae kwenda diploma tu na atapata kozi nzuri tu, pengine hatojuta kabisa .

Kikubwa anza kumuandaa kisaikolojia na achague kozi aipendayo.

Kuna watu walisoma degree zao ila hazijawasaidia sana wakaamua kusoma diploma zikawatoa vizuri.
 
Back
Top Bottom