Kwa Diaspora CHADEMA damu

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta hapa nikiamini naweza kupata watu wawili watatu ambao watasaidia kubuni mpango mahsusi wa namna ipi bora ya kuifanya hiyo fundraising iwe successful na kuhakikisha inakwenda kufanya lengo lililokusudiwa,pia kuhakikisha watakaojitolea hawatambuliki kama watapenda kutotambulika.

Shime wana chadema ,chama kitajengwa na wanachama,cuf walifanya sana hizi harambee miaka ile kutokea nchi mbalimbali na ndio zilikua zikiipa cuf jeuri ukiacha ruzuku.Niko tayari kushare contacts zangu na za viongozi wa chadema to the right people.

Nawasilisha
 
KIM KARDASH,
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization,

tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

P
 
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization, tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
P
Nina hakika hata ujikombe vipi ulisha dharauriwa kwani ulishaonekana wewe ni debe tupu!
 
Naendelea kuchukua mawazo then nitaya wasilisha kunako husika,pasco lowassa nakushukuru sana mkuu,mwanakijiji wengi bado tuko pamoja kwenye tank la fikra ukiacha wenzetu kina kina makonda,bashe,kafulila na wengine waliopata teuzi mbalimbali
 
Tutalijadili kwenye kikao tutakachokaa Jijini Texas mwezi ujao mwanzoni
Itapendeza kama tutaweza kutoka na platform nzuri na covenient kwa watu kuweza kuchangia,diaspora can do that i believe,we just need mobilization tu na ndio viongozi walichoomba,tufanye sisi wenyewe huku hiyo mobilization na mfumo mzima then tuwape wao feedback,na mtu wa kuwasiliana nae anaehusika na hilo suala ni mh.nyalandu,mkihitaji contacts nitawapatia kwa kuwa mimi siko texas niko the other side of us na sitaweza kufika kutokana na majukumu yanayonikabili,ila tuko pamoja.
 
Dah! Tanzania wajinga ndio waliwao. Chadema wanapata shillingi 320 million kila mwezi matumizi anafahamu Mbowe pekee kazi kweli kweli. Bado wana tamaa ya diaspora money!
 
Nina hakika hata ujikombe vipi ulisha dharauriwa kwani ulishaonekana wewe ni debe tupu!
Mara zote ccm huwadharau kama takataka wanaojifanya chama ni chao , ndio maana huchukua wasaliti na kuwapa vyeo vya juu , hawa wachumia tumbo hupewa bando ili wapambane humu jf na kwingineko , majina yao tunayo
 
Even as CHADEMA is a shambles, I will not discourage this movement.

Without personal participation of course.

Personally, I find it hard to commit monetary support to a party whose direction is unclear, energy is deflated and cohesion is questionable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Tanzania wajinga ndio waliwao. Chadema wanapata shillingi 320 million kila mwezi matumizi anafahamu Mbowe pekee kazi kweli kweli. Bado wana tamaa ya diaspora money!
Mbona ninyi mnakila kitu mpaka viwanja vya michezo mlipola nchi nzima,lakini mnachangisha mashimo ya choo,madawati hadi madarasa.na mnalilia pesa za
 

Attachments

  • 2304705_1581511485107.png
    2304705_1581511485107.png
    236.6 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom