Kwa Dar ni hospital gani wanaweka meno ya bandia?

nenda mikocheni kwa kairuki yuko dentist mmoja anaitwa dr lema yule ni balaa kwa mambo hayo
 
Inategemea unahitaji huduma ya aina gani, lakini kwa ujumla Aga Khan ndio naona wana kitengo kikubwa na makini cha meno.
 
Njoo Kimara Baruti Alafa Dispensary ni wataalamu balaa kwa meno design zote.
 
SABIR DENTAL CLINICS, SHOPPERS PLAZA MIKOCHENI AU MTAA WA INDRA GHANDI, KUNA MENO YA KUVAA NA KUVUA, (REMOVABLE DENTURE) na FIXED CERAMIC BRIDGES, BEI YAKE KATI YA 40,000/= HADI 60,000/= PER CROWN.
 
Aende Zamu Dental clinic. Iko karibu na 'Victoria' au kituo cha msaada 'FAO'.. Pale huduma zote za meno atapata. Mawaziri na wengine wengi wenye kujali afya zao za kinywa wanaenda pale.
 
Back
Top Bottom