Kwa dar ni hospital gani nitapata huduma nzuri ya kuweka meno ya bandia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa dar ni hospital gani nitapata huduma nzuri ya kuweka meno ya bandia?

Discussion in 'JF Doctor' started by viane, Jun 25, 2012.

 1. v

  viane Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwa anayefaham naomba anijuze tafadhali nataka nimpeleke jamaa yngu kuweka meno matatu ya juu.km mnafaham na bei zake naomba kujuzwa
   
Loading...