Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Style ya Arusha. Ni mnyonyo shati kubwa doggydoggy na allstar refu kupita size/travolta/timberland/americanboot/cat na boshori inawekwa kinamna hapo juu au kofia inakunjwa kwa style flani hapo juu na delek hakuna mmarekani anavaa hiyo combination usidanganye wa mikoani sababu najua huwezi kudanganya wa Arusha.

Hapo bado motion code sababu akivaa hivyo atembei kawaida aether atapandisha bega moja juu (kibabe) au atapeleka kifua mbele kama bonnet ya layland.......... Na msemo wa "jamaa amepinda (amechoka)" umetokana na hii motion code




Ila kwa mishati tu mh kweli size imezidi,hiyo inabidi muipe jina lake badala ya Doggy Doggy iwe Duggy Duggy..
 
Mtarukaruka wanaume wa dar ila chugga moto mwingine. Machalii ya Araa ni shida.... ukizingua kila rangi unaona.... hatutaki masoro pande hizi asee
Tena waambie Arachuga ni hatutaki masoro sie ndio maana scopion hawezi onekana pande hizi, wanajiita wanaume wa Dar halafu wanaogopa kuamua kugomvi mpaka binadamu mwenzao anatobolewa macho?! eti wanaume hao wanakula chipsi wakishuhudia mwingine akipewa ulemavu halafu wanaitisha harambee kumnunulia bajaji, thubutu, Arusha huyo scopiorn asingefanya hayo na sasa angekuwa historia, yaani kulikuwa na scopiorn... naipenda sana Arusha, sana.
 
Duuuuuuuu hii swaga za kishamba sana mikoti yaajabuajabu tu hiyo graduuu et hahahahahaha ndio maana tutaendelea kuwala mademu zenu tu nyie wanaume wa mikoan
Acha dharau wewe, eti wanaume wa mikoani?! mshewww, Dar nako unajiita mwanaume? mnakimbia familia kisa panya road, mnakula chips mkishuhudia mwanaume mwenzenu anapewa ulemavu?! Arusha hakuna hiyo kitu wewe, tena kwa upeo wako hata mwanamke wa Arusha huwezi msimamisha hata kwa salamu achilia mbali kumla, unajishebedua JF wakati hadharani mnachungulia diirishani?
 
Acha dharau wewe, eti wanaume wa mikoani?! mshewww, Dar nako unajiita mwanaume? mnakimbia familia kisa panya road, mnakula chips mkishuhudia mwanaume mwenzenu anapewa ulemavu?! Arusha hakuna hiyo kitu wewe, tena kwa upeo wako hata mwanamke wa Arusha huwezi msimamisha hata kwa salamu achilia mbali kumla, unajishebedua JF wakati hadharani mnachungulia diirishani?
Zenu bangi ,mirungi,viroba. Mibeto hamtumii akili ni ubabe tu usio na.maana kiufupi wachache ndio mnajielewa bdlkn wenzenu wamebadilika wakina Weusi dogojanja nw wako smart kimavaz mpaka akili mambo ya minyonyo wameacha sikuhiz naona mnaanza kukubali mdogomdogo hata bongoflavour
 
Zenu bangi ,mirungi,viroba. Mibeto hamtumii akili ni ubabe tu usio na.maana kiufupi wachache ndio mnajielewa bdlkn wenzenu wamebadilika wakina Weusi dogojanja nw wako smart kimavaz mpaka akili mambo ya minyonyo wameacha sikuhiz naona mnaanza kukubali mdogomdogo hata bongoflavour
Haahaa, kuzaliwa Arusha tu ni sawa na mwanaume alietoka jando, wewe endelea kula chipsi huku ukiomba Mungu mwanaume mwingine asije kukutoa macho, haya mambo ya chuga tuachie wenyewe.
 
Mkuu wewe ndiyo mshamba nambari one hujakaa Arusha wala huelewi lolote kuhusu Arusha.

Unajua identity? Ngoja nikwambie.....hao machalii hiyo ndiyo identify yao. Wanafanya hivyo kuonyesha wao si watu wakuamuliwa mambo....kwa jamii ya watu tofauti na Arusha wanawaona ni devient kwasababu hawafuati "upuuzi" wa vijana wa mikoa mingine. Binafsi naona machalii wa Arusha wameamka sana.....tembelea vyuoni.....machalii wa Aruaha wengi ndiyo wanaonekana bora. Hata katika maongezi ya kawaida tu utagundua wako more exposed zaidi ya wenzao. Unajua vijana wanaotoka places nyingine tofauti na Chuga ni "washamba" wanapenda kufuata jamii inayoenda......watu wa namna hii hawawezi kuleta mabadiliko.....uoga na kufuata kila wanaloambiwa ndiyo tatizo.

Hao machalii unaowaona ni "rebel" wanaonyesha wanaweza wakaishi katika misingi yao......kwa namna yao.....hao kwangu mimi nawaona ni innovative sio unakutana na brother anatoka sijui mkoa gani amesoma lakini mambo ya kiboya hadi inakera kisa anajifanya mfuata maadili sana.

Changamka we jinga "maandazi" acha kuchomeka na kuvaa mkanda juu ya kitambi mkuu.
Mabadiliko peleka nyumbani kwenu.........Hao ni rebel kweli.....na lazima wanatumia majani.............mtu mwenye akili timamu hawezi akavaa upuuzi huo.....Eti identity.......Huko vyuoni ndo nimesoma nao...wanajifanya wanajua...kumbe ushamba tu.....tena nimesoma chuo chenye machilii wengi balaaaa......nawachora mikato yao...naona chenga sana.....
Halafu km ww n mjanja......kutukana...sio issue....ni uwezo mdogo wa kufikiri...........Sina kitambi........ila huwa nachomekea.......
Nimekukera......Pita hivi............
 
Back
Top Bottom