Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

acha upumbavu wewe ******** me mwenyew nimekulia arusha na nilijaribu kuukwepa huo ujinga wa kuvaa hivyo,bahati mbaya wadogo zangu 2 wameingia kwenye ujinga huo wanavaa hivyo hivyo.Na wapo hapo matejoo wameondoka nyumbani na shule wameacha wanaongozana na hao matahira wanao vaa ujinga wakidhani ni sifa.
Sasa wamekuwa watumiaji wazuri wa bangi na madawa ya kulevya nabaki kuwaonea huruma tu cz tumejaribu kuwapeleka sober house lakin wanatoroka.
Msipende kushabikia ujinga ujinga tu usio na faida

Mapovu ya nini.... Ujinga wa wadogo zako upo kwenye akili zao sio mavazi..... Wewe na ujanja wako umeshindwa nini kuwa badilisha unakuja kulia na kambale wa Jf. Tangu lini mavazi yakabadili tabia ya mtu? Waache watu waishi wapendavyo.
 
samahani kumbe nabishana na mtoto wa kike sorry kukuita mpumbavu cz nawaheshimu nyie viumbe.usiku mwema
delete post
 
Afu wanajionaga wanjanja saana.....kumbe wabovu tu
Ishi maisha yako huko utakavyo yaani Kitu ambacho machalii wa ara hawanaga ni kufuatiliana hawanaga huo undezi wao wamejikita kwenye mambo yao kivyao mnaweza kuishi mtaa mmoja hata miaka 20 lakini hata asikusemeshe kama sio crew yake au hashei some commons na wewe (hamuendani) hawanaga story na mtu kabisa.

Haiwezi kumkuta anavamia tu maali na kuanzia kubishana au nini ni yeye na hamsini zake sasa sijui kujiona mjanja kunatokea wapi wakati hana time na wewe hayo mambo ya kiswahili na ya kike ni yako wewe lakini hawa raia ni peace and love ila usilogwe ukawaletea mazoea.

Waambie hao maparata wasituchulie poa machali wa Ar
 
Kuna kitu nikiweke sawa ili waporipori kama ulivyo ww mkielewe, sio kwamba machalii wa chuga hawajui kuvaa casual kama unavyodhani..... lifute hilo kichwani, kitu people za chuga wanajaribu fanya ni kutafuta identify yao kama wao ndio maana wanadivert toka kuvaa casual as we all used to nakua na something unique.... ili kuweka kumbukumbu sawa ni hivi mikoa ya kaskazini ni miongoni mwa mikoa iliyobahatika kupata elimu siku nyingi sana enzi za wakoloni so usiwaze kua hao wapo hivyo labda ni uncivilized hapana....... hope umenisoma.

Alafu ni chuo gani hicho unakiongelea usikute ni ndanindani huko SAJUKO sijui iko Songea alafu unakuja kujitapa hapa!!!!!
Hata huku SAUT huwa mwanzoni huwa wanakuja na miguo ya aina hyo halafu baada ya muda hubadilika na kuwacheka machalii wenzao wanaojiunga na chuo!
 
2G2A9336.jpg

Huwa sielewi wanaume asilimia kubwa mna vimiguu vi toothpick lkn hamuishi kuvaa maviatu makubwa na kaptula kuvionjesha vimilonjo vyenu
 
Hata huku SAUT huwa mwanzoni huwa wanakuja na miguo ya aina hyo halafu baada ya muda hubadilika na kuwacheka machalii wenzao wanaojiunga na chuo!
SAUT upande gani ambao machalii ya Chuga wanaonekana washamba?.... nyamalango, sweya, luchelele au kwa Masha? mbona huko machalii wanadai ni harufu za dagaa kwa sana vitu ambavyo vinawapa shida.... teh em nieleweshe ni upande upi huo jombii
 
Huwa sielewi wanaume asilimia kubwa mna vimiguu vi toothpick lkn hamuishi kuvaa maviatu makubwa na kaptula kuvionjesha vimilonjo vyenu
Hiyo ndio hip-hop sasa hapo havai swagger hapo anavaa vile anataka na sio showoff za miguu yaani hapo ni ujemedari na kuishi reality hamna kuremba hapo.

Ndio mana unasikia watu wanasema Machalii wanajiamini wewe sababu haujiamini unaweza kuona hatari kuvaa hivyo lakini maninja wanadunda bila ajizi halafu hawamuangalii mtu anamuonaje.

Bora umekuja mwakilishi wao........Nimetembea mikoa mingi ya baridi (Mbeya,Iringa,Rukwa..etc) na sio washamba kama hao jamaa.....Na nimesoma chuo ambacho kina machilii wengi hapa mjini (tafuta mwenyewe utakijua)....eti identity yao......mshamba mshamba tu....na mi kama mpori pori ndo niko hivyo............unaweza ukapata elimu lakini usiwe na maarifa......Mfn: Profesa wako..........sasa kwani ni civilized hao?.........Huwa nawachora tu........basi nasikitikia itikadi zao za kishamba..........
Na najua mlikuwa mnajaribu kukopi watu fulani wa western...........
Mkuu wewe ndiyo mshamba nambari one hujakaa Arusha wala huelewi lolote kuhusu Arusha.

Unajua identity? Ngoja nikwambie.....hao machalii hiyo ndiyo identify yao. Wanafanya hivyo kuonyesha wao si watu wakuamuliwa mambo....kwa jamii ya watu tofauti na Arusha wanawaona ni devient kwasababu hawafuati "upuuzi" wa vijana wa mikoa mingine. Binafsi naona machalii wa Arusha wameamka sana.....tembelea vyuoni.....machalii wa Aruaha wengi ndiyo wanaonekana bora. Hata katika maongezi ya kawaida tu utagundua wako more exposed zaidi ya wenzao. Unajua vijana wanaotoka places nyingine tofauti na Chuga ni "washamba" wanapenda kufuata jamii inayoenda......watu wa namna hii hawawezi kuleta mabadiliko.....uoga na kufuata kila wanaloambiwa ndiyo tatizo.

Hao machalii unaowaona ni "rebel" wanaonyesha wanaweza wakaishi katika misingi yao......kwa namna yao.....hao kwangu mimi nawaona ni innovative sio unakutana na brother anatoka sijui mkoa gani amesoma lakini mambo ya kiboya hadi inakera kisa anajifanya mfuata maadili sana.

Changamka we jinga "maandazi" acha kuchomeka na kuvaa mkanda juu ya kitambi mkuu.
 
Hiyo ndio hip-hop sasa hapo havai swagger hapo anavaa vile anataka na sio showoff za miguu yaani hapo ni ujemedari na kuishi reality hamna kuremba hapo.

Ndio mana unasikia watu wanasema Machalii wanajiamini wewe sababu haujiamini unaweza kuona hatari kuvaa hivyo lakini maninja wanadunda bila ajizi halafu hawamuangalii mtu anamuonaje.

Eee bana hiyo ndio miguu ya kiume mambo za kusema ufiche milonjo kwani tunagombea miss bantu?

It's all about being real
 
Arusha piece sana kuanzia mamanzi madogo wamama wababa na sisi kaka zao., tuna roho zetu za baraka ila usilete tamaa tu na vitu vya watu utagombana na watu. Kama tabia ya kuazimana Viatu au Nguo kama Watu wa Dar..
 
Back
Top Bottom