Kwa dalili hizi nimuone Dokta gani na nichukue kipimo gani?

Mwimbili. Private sijui. Ndio NHIF ina toa hyo huduma ila nafkir kuna mda lazma uwe umefkisha ndo upate hii uduma nafkr mwaka. ..CT scan, MRi, Na chemotherapy nafkr zina vikwazo vya mda
Hivi kwa dar MRI inapatikana wapi na je Bima ya HNHIF inacover hii huduma?asante kwa msaada
 
Wakuu asanteni sana kutokana na ushauri nilopata hapa
Nimeona Kwanza kabisa nikacheki
Sukari, calcium pamoja na vitamin B

UKIMWI nina uhakika sina so sitajisumbua kupima

Nikirudi town ni kwenda kwa dokta kwa ajili ya vipimo hivyo sasa sijui kama Full blood check inaweza kubaini hivyo vitu
 
Wakuu nimeenda kumuona dokta nikamueleza tatizo na hizo dalili pia maisha yangu ya nyuma kiujumla
cha ajabu kaniandikia mzigo wa dawa bila hata kunipima, kasema nitumie mwezi mzima pamoja na kula ndizi mbivu, maziwa na asali
Kasema nina upungufu wa virutubisho

Nimerudi na lundo la mzigo wa dawa, acha nijaribu labda inaweza saidia

Nitaleta mrejesho mambo yakiwa sawa
 
Ukiwa muwazi na mkweli hasa juu ya suala la matumizi ya hisia kali katika mapenzi (PUNYETO) amini nakuambia utasahau kama uliwahi kuwa na tatizo hilo.
Chakufanya
- acha kabisa punyeto (kuoa hakumpelekei mtu kuacha punyeto)
- penda sana kutafuna Nazi,karanga mbichi na hata kunywa maziwa fresh.
- piga mazoezi kadri uwezavyo
- acha kukaa mpweke (kajichanganye na wenzio)
- punguza kutumia internet kwa muda mrefu (kwani viashawishi vingi vya kupiga punyeto huanzia kwenye mitandao ya kijamii)

NIMEKUPA USHAURI HUO KWA SABABU DALILI ULIZOTAJA NI DALILI KUU KWA MATEJA WA PUNYETO
Mkuu ww na dokta niliyeonana nae, mawazo yenu yako sawa, kasema haina haja ya kupima, kaniandikia lundo ya mzigo wa dawa nikatumie mwezi mzima
 
Mkuu kwa hizi dalili uko sahihi kabisa dokta kaniandikia dawa bila kunipima
Fact! Hata mimi baadhi ya dalili hizo zilishawahi kunipata enzi hizo nikiwa teja wa hiyo kitu. Baada ya kuacha ilichukua takribani miaka mitatu kupona. Sasa hivi dalili takribani over 95% zimepotea.

Wengi hawatakuelewa isipokuwa wachache waliowahi kukumbukwa na sakata hili kama mimi. Tena ukioa kabla ya kupona hilo tatizo la athari za punyeto ndio huwezi pona mapema
 
Mkuu kwa hizi dalili uko sahihi kabisa dokta kaniandikia dawa bila kunipima
Mkuu kwa kukusaidia pia. Kama unaangalia picha za ngono (porn addiction) jua unajiangamiza. Kama unafanya tendo la ndoa kila siku na mkeo (sex addiction) pia unajiangamiza. Ukichukua porn+punyeto=major body weaknesses. Madhaifu yapo mengi ambapo mengine ni kama ulivoeleza dalili mwenyewe, nyingine ni kuuma tumbo mara tu baada ya ejaculation, kuuma miguu baada ya ejaculation, mood swing, kukosa usingizi, kunyonyoka nywele, kusinyaa uume, frequent nocturnal emmission sometimes bila hata ndoto nyevu, vichunusi kama vijipu, n.k. Kama unapiga punyeto na kuangalia porn, mkuu acha. Kama hufanyi mambo hayo basi hilo ni tatizo jingine nenda hospitali.

Kwa ufupi tu ni kuwa punyeto na porn vinabadilisha chemistry ya mwili. Unaweza usiamini hili, lkn tambua kuwa ukiwa hodari wa kuangalia porn na kufanya punyeto na addiction ikakukolea, jua kuwa hiyo ni njia nyeupe kuelekea kwenye tabia za kishoga, ulawiti, unajisi na mambo mengi machafu. Remember, a "satisfied need is not a motivator". Ukitosheka kuangalia porn za wake kwa waume, utaanza kuangalia za wake kwa waume kinyume cha maumbile, brain ikizoea utaona husisimki utaanza kuangalia za mashoga, mwisho nawewe unakuwa shoga. Watch out usiipoteze nafsi yako. Hili ni somo kwa watu wote, si wewe peke yako.
 
Mkuu kunyetuka Nilishaacha kitambo miaka mitatu sasa ila ndo hivyo hizi dalili bado zimebaki na Mimi

Hizi dalili ninazo miaka mi5 sasa nyeto, ni miaka mitatu tangu nisitishe nyeto

dalili ninazo tangu nanyetuka yaani nilishakua victim na mwanachama niliyekubuhu mwenye cheo cha juu kabisa So dalili zimenikuta nikiwa najipimia na mkono wangu

Hayo ni maisha ya ujana now niko na mke
Hizo dalili zimekuanza hivi karibuni au tangu kipindi hujaacha hiyo tabia?
 
Mkuu nimepima kisukari na presha dokta kasema niko normal kanishauri niende hospital kubwa nikapime CTSCAN
-Uchovu wa mwili na akili (usingizi mzito)

- Kukosa Umakini na Kujiamini

- Uwezo hafifu wa kufikiri na kuhifadhi kumbukumbu (hata ndoto zangu sizikumbuki

****Mkuu uchovu wa akili,unakufanya uwe na uwezo hafifu wa kufikiri na hii inakuondolea kujiamni..ungeenda hospital ufanyiwe full check up,usitumie Google..lol...mie sio daktari ila nahisi una kisukari...na pia hauko confident na afya yako..ndio maana unaona mawenge wenge...suspicious ..Muone doctor and once ukiwa in control na physical health yako...utaona symptoms hizo nyingine (Mental)..zita subdises

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom