Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

Status
Not open for further replies.
Tafadhali tuziheshimu mahakama zetu!CCM imepoteza Jimbo la Sumbawanga na imeshindwa kwenye kesi Singida na Biharamulo!Tuachie mahakama zetu zifanye kazi na kwangu zimeonyesha for somehow zipo fairi!

Matokeo yeyote ya kesi ya Mnyika ni ile ya Meatu kwa Mbunge Opulukwa tuyaheshimu kama ambavyo CCM wameheshimu maamuzi ya Mahakama kwenye kesi za Biharamulo,Sumbawanga na Singida ambako kote upinzani umeshinda!Na sina wasiwasi CCM itaheshimu pia maamuzi ya mahakama kwenye kesi ya Segerea na kwa hili kwa kweli naipongeza CCM!
 
WanaJF, kwa nini tusijibu hoja kwa hoja badala ya kejeli na matusi? Kadri siku zinavyoondea JF inashuka viwango, inakuwaje GREAT THINKERS wanakwepa kujibu kwa hoja badala yake tunajikita kwenye majibu mepesi mepesi na hata matusi? Inaudhi kwa kweli. Hebu tulipe hili jamvi heshma yake kama ilivyokuwa huko nyuma. (Ni maoni yangu)
 
Tafadhali tuziheshimu mahakama zetu!CCM imepoteza Jimbo la Sumbawanga na imeshindwa kwenye kesi Singida na Biharamulo!Tuachie mahakama zetu zifanye kazi na kwangu zimeonyesha for somehow zipo fairi!

Matokeo yeyote ya kesi ya Mnyika ni ile ya Meatu kwa Mbunge Opulukwa tuyaheshimu kama ambavyo CCM wameheshimu maamuzi ya Mahakama kwenye kesi za Biharamulo,Sumbawanga na Singida ambako kote upinzani umeshinda!Na sina wasiwasi CCM itaheshimu pia maamuzi ya mahakama kwenye kesi ya Segerea na kwa hili kwa kweli naipongeza CCM!

Mahakama zipi za kuheshimika? za kina Rwakibarila?
 
hivi kila jimbo lina kesi mahakamani? mana kila siku nasikia kuna kesi ya mbunge huyu mara mbunge yule mahakamani
 
hivi kila jimbo lina kesi mahakamani? mana kila siku nasikia kuna kesi ya mbunge huyu mara mbunge yule mahakamani

Mara tu baada ya matokeo ya uchaguzi(2010) kutoka, Makamba, wakti huo akiwa k/mkuu aliwaagiza wagombea ubunge wa CCM walioshindwa wafungue kesi mahakamani, bila kujali wameshindwa kihalali au la.
 
tatizo siyo uwingi wa kura bali hoja iliyoko mbele mlalamikaji anadai kura 14,000. kuwa hazipo ambazo hata akiwa hazimpi ushindi. Lema hoja iliyo mtoa ni lugha aliyo kuwa akitumia kipindi cha kampeni ambayo kwa historia iliwahi kumtoa mbunge mwingine huko Shinyanga (sikumbuki jina lake)

And you know how courts operate? Definately if those votes are missing ni nyingi! Obvious it connotes irregularities for relevant authorities at that time. Mahakama ni ngumu ku~ignore that only because even if they are added to the complainant wont make her a winner! Most likely decision ni kurudia uchaguzi unless the judge chooses to rely on the other side of jurisprudence! And you know how ccm would love that! Lets wait the judge has the final decision!
 
Tatito ni moja tu CCM mbunge wao akienguliwa na mahakama ujue wamepoteza jimbo ila Chadema mbunge wao akienguliwa ujue anakawizwa lakini lazima litarudi tena FULL STOP
 
Mtoa mada ametoa conclusion ambayo kimsingi haihusiani moja kwa moja na anachoamini
 
ni kweli wapo kwenye chaguzi ndogo maana ata mtaani kwetu wamewapiga chini mabalozi 3 walokuwa na micmamo na wachakachuaji wakaweka wao wanaowataka fasta tena kwa kuitshana watu wao wanaowajua wakakusanyika na kuwapitisha wa2 wao chap chap
 
Mkuu msingi wa kesi ya Ubungo ni kura 14,000. ambazo hata akipewa zote huyo wa CCM hawezi kumshinda John na kumbuka kuwa hizi kura ni lazima kufuata ratio maalum kwa wagombea wote

Si mtaalam wa sheria naomba ufafanuzi zaidi juu ya hili

Padri alichakachuliwa kura ngapi? Je akipewa zote zinafikia zile za JK, kikwete kumteua mwenyekiti wa Tume ni kosa,ila Laptop za mgombea kutumika kujumlisha matokeo si kosa! Kweli chongo siku hizi ni kengeza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom