Kwa chuki za wazi wazi wanazooneshana wanasiasa, ukiona hawauani, ujue wameshindwana!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,696
2,000
Mi nashangaa, sie tukiendaga kwenye itavyuu ya kazi tunajenga urafiki, hata tunabadilishana namba kupeana update nani kapita awamu ya kwanza nani katoswa, na pia wakati tunangoja interview huwa tunapeana changamoto za kujibu maswali.
Yani its a kind of brotherhood.
Ila sio kwenye siasa.
Kuanzia jukwaani ni vijembe na chuki za wazi wazi hata kwenye utendaji yani ni bifu kwa kwenda mbele. Kwa kiwango hichi cha chuki walizonazo wanasiasa dhidi ya wapinzani wao, ukiona hawajamalizana mpaka sasa, ujue tu kuwa in one way or another wamezidiana nguvu flan flan...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom