Kwa chini kidogo..........

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...

Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu yanafika mbinguni!
Jamaa: loh nyumba gani hizo mpaka mbinguni?
Mmarekani: aah ok...kwa chini kidogo.

M-bagamoyo: Sisi kwetu kuna minazi mireefu inafika mbinguni!
Jamaa: loh na wewe nawe?
M-bagamoyo: hapana kwa chini kidogo.

Mmasai: Kule kwetu watu nasalia kwa kitovu!
Jamaa: aaah Mmmasai bwana loh umezidi sasa...
Mmasai: errooo kwa chini kidogo!

Mshindi ni nani hapo?


 
M-bagamoyo ni mshindi maana kwao kuna maajabu sana, minazi mirefu, vichwa nazi, bagamoyo zaidi.
 
Cjakusoma na hapo hakuna uongo ata mmoja unaofanana ata kukaribia na ukweli
 
Back
Top Bottom