Kwa Chaguzi zinazoendelea barani Afrika, ni kweli CCM haina maisha marefu

Wangekuwa wanasimamisha wagombea wazuri wangechukua Nchi tangu 2010. Lakini kwa kusubiri Makapi ya CCM watasubiri sana labda 2055
Kuna watu uelewa wenu ni wa mashaka sana, Soma historia ndio utayajua hayo yote. Yaani Mawaziri wakuu wawili wastaafu kuhamia upinzani kuongeza nguvu tena wanakijua chama tawala vizuri wewe unaona sawa wangewekwa bechi tu? Nchi zote ambazo upinzani unatwaa madaraka utakuta viongozi wengi wa upinzani walitoka chama tawala. Kipi kipya hapo?
 
Je upinzani huko Ghana unaazima wagombea?
Hakuna chama cha upinzani duniani kisichoongozwa na waliotoka chama tawa, Kunapotokea mitifuano dani ya chama tawala wengi hukimbilia upinzani, sasa wewe unaona maajabu gani hapo?Kasome historia, kama huelewi nyamaza.
 
2015 CCM 59% & UKAWA 40%.
Zanziba CUF 52% & CCM 49%.

2020 itakuwaje Tz?
 
Na huyu Rais anayecheza gwaride badala ya kukagua gwaride ndo CCM waanze tu kupeleka mizigo nyumbani Chato maana 2020 is just around the bend!
 
Back
Top Bottom