G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,560
- 8,425
Upinzani hapa kwetu siyo wa kweli,wanadharau wananchi kwa kuwalisha maneno ambayo hua wanakuja kuonekana tena walitudanganya,ni kama walishawachukulia wananchi ni hawana akili.wanawaaminisha hili leo,kesho wanalitetea,ukiwapa nchi hawa ndo wataiuza mazima,CCM hata kama ina watu wana mapungufu lakini bado ndo chama pia chenye watu watulivu wapo na wanaweza kutumia hekima kuongoza nchi,huyo hapo Magufuli,ni CCM huyo na tunaona wazi jinsi anavyotetea maslahi ya wananchi,lakini upinzani leo umegeuka tena,walikuaga wanatuambia nchi inataka rais kwa sifa za alizo nazo huyu wa sasa lakini tena leo wamegeuka wanasema huyu ni dikteta na kurudi tena kuwakumbatia waliowaita mafisadi kwa kusema wanaonewa,ukifikili kwa kina unaona hawaeleweki,na mtu akija hapa kusema ukweli huu eti anaitwa wewe ni CCM nenda Lumumba kachukue posho,peoples wana shida.