Kwa CHADEMA na Viongozi wake hasa Freeman Mbowe na Dr Slaa....

safi sana kamanda, ikiwezekana tutachangia wanachadema na wafuasi kufanikisha hili! MOVEMEMT FOR CHANGE!
 
Stain hivi CDM ndio wakwenda kuchukua nchi 2015?


Mhh....kazi kweli kweli, kama hata hili hulitambui napata wasi wasi kama hata unalitambua jina lako....anyway ccm at work....waambie na wenzio kuwa hatutakimchezo kama noma na iwe noma....waalimu tutatumia muda wetu kueneza siasa mashuleni, ili wanaomaliza kidato cha nne 2012, 2013, 2014 na 2015 wawe wanachadema ambao watapiga na kulinda kura zao, tutatembea kwa mguu, baiskeli na pikipiki hadi vijiji vyote vya nchi hadi wananchi watuelewe na kuiangusha ccm....waambie, hii ni mbinu namba kumi, hizi tisa za kwanza sikwambii leo, utaziona kwa vitendo...hadi 2015, kitaeleweka tu....PEOPPPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS........POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!!!!!
!
 
Kwa upande wa wahindi tutaanza na Sabodo halafu tunakuja kwa Prof Shivji au sio?.........................

Mohamed hawa ni watanzania ndiyo maana katika post yangu moja niliwafagilia na tunapigika wote... Ninaposema wahindi simaanishi watanzania, hakuna mtanzania anayitwa mhindi na hakuna mtanzania anayeitwa mwarabu na hakuna mtanzania anayeitwa mchina.... etc

Na wala hakuna Mtanzania anayeitwa mkaburu na hata ukienda huko china, India, A-town, Marekani .... Hakuna Marekani anayeitwa Mtanzania wala Mkenya...

Naposema waarabu namaanisha mfano waliochukua wale wanyama 130 na zaidi walipofika kwao walisema nini mbona unataka kupindisha ukweli unaouelewa.....

I hope umeelewa, Hivi sahivi Tanzanite wamemaliza, Dhahabu wamemali na wanyama watamaliza na watakuja kuchukua ardhi wewe unang'aa macho tu.....
 
Shossi acha uchokozi.
Lakini nafikiri aliyezungumzia wahindi, waarabu alikuwa na maana wale wasio na uzalendo. Sabodo na Shivji ni tofauti na hao aliowasema.

Uko sahihi kabisa, sikumaanisha Rangi maana itakuwa ni ubaguzi...
 
Morogoro tunatakiwa nguvu ya ziada kwani wanatuangusha sana. Lazima tuanze kuwaelimisha kwani Ma bus ya kuzika yanawadhalilisha sana
 
oin Date : 25th January 2012Posts : 93
Rep Power : 329
Likes Received19
Likes Given33




Kichaa hujulikana kwa hulka yake, kurusha mawe na lugha za mtusi na kutoa pofu mdomoni. Mimi nilishapimwa mara nyingi tu niko fiti sijui wewe. Kwanza unaonekana una matatizo ya kufikiri. Mimi niliuliza swali tu la kiuchokozi kupata mtazamo, lakini wewe unaniita sio mtanzania, fisadi na kichaa. Mbona unanionea hivyo? Hebu angalia Stain mwenyewe alivyojipambanua. amenieleza sababu anazojua, kama Graph ya kukubalika kwa CDM inapanda (Sijui kama wewe hata unaelewa maana yake). Hili sio jukwaa la matusi. Na matusi huwa hayanidhuru hata kidogo. Na mimi sitaki kukutusi.

Kushukiwa uraia wako na akili yako timamu sio tusi, kuna watu wanjifanya wtz kumbe sio...pia hospitali za vichaa zipo mahusisi pia kucheki vichaa...unashukiwa kichaa...thibitisha wewe sio kichaa...
 
Back
Top Bottom