Kwa CCM hii, leo Magufuli akihama chama ataambiwa ni fisadi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Imekuwa kama ada kwa wanaCCM kuanza kumshambulia kila anayejiengua CCM, kuzusha pengine kusema ukweli mambo aliyofanya angali akiwa bado CCM, yakiwemo ya ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma nk, mwisho utawasikia wakimtishia kuwa atafunguliwa mashitaka, atafilisiwa, mali zake kutaifishwa, TRA watambambikia kodi nk. binafsi sijui hasa lengo la kufanya hivyo ni nini.

Inavyoonekana CCM huwa wanajua kabisa fulani ni fisadi wanamuacha aendelee kuihujumu nchi bila kutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika wakisubiri siku atakapohama chama. Huo ni uzalendo gani, wanaCCM mnatupa picha gani ya humo ndani, ni matendo maovu makubwa kiasi gani mnayovumilia, ina maana unapokuwa CCM ni ruksa kuhujumu taifa?

Picha ya karibu inayoonekana ni kuwa CCM wote wanajuana wanalindana, kwahiyo wanajua kabisa kuna makosa rais Magufuli alifanya na anaendelea kufanya bali wanavumilia likiwemo la uuzwaji holela wa nyumba za serikali, ununuzi wa boti mbovu, leo wanajua anavunja katiba, anabagua kikanda, wanajua anafanya uonevu kwa wasiomchagua, wanajua analipiza visasi kwa mahasimu wake na mengine mengi, ila wanavumilia kwa kuwa bado ni Mkiti wao na yuko CCM, najua kuna siku wanaCCM hao hao wanaomshangilia leo watatuwekea wazi makosa yake yote kama wanavyofanya kwa wengine.

Wakati ni Mwalimu mzuri sana.
 
Ujue CCM kila mtu fisadi.Kabla ya hapo Nyalandu alikuwa malaika alivyo jiuzulu tu na video zake za mwaka 47 na ufisadi ndio wanavisema.Sasa anayefata next ni ...............Anzeni kumsema sasa kama nyie wanaume kweli.Alafu wote walioitwa mafisadi hawajawahi kushitakiwa hata mmoja.
 
Next ni (mkwere)??? Ukweli watu wamemchoka ngosha ni hakuna mfano. Nyalandu kaonyesha njia na sasa exit itakuwa ya kutisha.
 
Imekuwa kama ada kwa wanaCCM kuanza kamshambulia kila anayejiengua CCM, kuzusha pengine kusema ukweli mambo aliyofanya angali akiwa bado CCM, yakiwemo ya ufisadi, ubadhilifu wa mali ya umma nk, mwisho kumtishia kuwa atafunguliwa mashitaka, atafilisiwa, mali zake kutaifishwa, TRA watambambikia kodi nk. binafsi sijui hasa lengo la kufanya hivyo ni nini.

Inavyoonekana CCM huwa wanajua kabisa fulani ni fisadi wanamuacha aendelee kuihujumu nchi bila kutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika wakisubiri siku atakapohama chama. Huo ni uzalendo gani, wanaCCM mnatupa picha gani ya humo ndani, ni matendo maovu makubwa kiasi gani mnayovumilia, ina maana unapokuwa CCM ni ruksa kuhujumu taifa?

Picha ya karibu inayoonekana ni kuwa CCM wote wanajuana wanalindana, kwahiyo wanajua kabisa kuna makosa rais Magufuli alifanya na anaendelea kufanya bali wanavumilia likiwemo la uuzwaji holela wa nyumba za serikali, ununuzi wa boti mbovu, leo wanajua anavunja katiba, anabagua kikanda, wanajua anafanya uonevu kwa wasiomchagua, wanajua analipiza visasi kwa mahasimu wake na mengine mengi, ila wanavumilia kwa kuwa bado ni Mkiti wao na yuko CCM, najua kuna siku wanaCCM hao hao wanaomshangilia leo watatuwekea wazi makosa yake yote kama wanavyofanya kwa wengine.

Wakati ni Mwalimu mzuri sana.
Asipohama ataendelea....
 
CCM wote wameshikamana katika uovu.
 
Hata Sizonje ana sifa ya uongo na kutokuwa makini kazini, kutofuata sheria na kutotambua mikataba halali kiasi cha kuliingizia Taifa hasara ya mabilioni kwa kutozingatia shetia lakini pia ni fisadi hasa kwenye issue ya nyumba.
 
Imekuwa kama ada kwa wanaCCM kuanza kamshambulia kila anayejiengua CCM, kuzusha pengine kusema ukweli mambo aliyofanya angali akiwa bado CCM, yakiwemo ya ufisadi, ubadhilifu wa mali ya umma nk, mwisho kumtishia kuwa atafunguliwa mashitaka, atafilisiwa, mali zake kutaifishwa, TRA watambambikia kodi nk. binafsi sijui hasa lengo la kufanya hivyo ni nini.

Inavyoonekana CCM huwa wanajua kabisa fulani ni fisadi wanamuacha aendelee kuihujumu nchi bila kutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika wakisubiri siku atakapohama chama. Huo ni uzalendo gani, wanaCCM mnatupa picha gani ya humo ndani, ni matendo maovu makubwa kiasi gani mnayovumilia, ina maana unapokuwa CCM ni ruksa kuhujumu taifa?

Picha ya karibu inayoonekana ni kuwa CCM wote wanajuana wanalindana, kwahiyo wanajua kabisa kuna makosa rais Magufuli alifanya na anaendelea kufanya bali wanavumilia likiwemo la uuzwaji holela wa nyumba za serikali, ununuzi wa boti mbovu, leo wanajua anavunja katiba, anabagua kikanda, wanajua anafanya uonevu kwa wasiomchagua, wanajua analipiza visasi kwa mahasimu wake na mengine mengi, ila wanavumilia kwa kuwa bado ni Mkiti wao na yuko CCM, najua kuna siku wanaCCM hao hao wanaomshangilia leo watatuwekea wazi makosa yake yote kama wanavyofanya kwa wengine.

Wakati ni Mwalimu mzuri sana.
Kwani Nyarandu anasingiziwa? Twiga walihama mikononi mwaka, Alionekana mbashara kwenye picha akiendesha matanuzi na mademu bila aibu, amejimilikisha vitaku kibao na ducument zipo wazi. Sasa haya machache yenye ushahidi je anaonewa? Chadema walimshambulia wao wenyewe na clip zipo je wakimsingizia ?
 
Hii Nondo wana Lumumba wataishia kuchungulia tu, sidhani kama wataingia mazima.
 
Hakuna aliye msafi wanashindana kwa ufisadi
 
Kwani Nyarandu anasingiziwa? Twiga walihama mikononi mwaka, Alionekana mbashara kwenye picha akiendesha matanuzi na mademu bila aibu, amejimilikisha vitaku kibao na ducument zipo wazi. Sasa haya machache yenye ushahidi je anaonewa? Chadema walimshambulia wao wenyewe na clip zipo je wakimsingizia ?
Hayo mmeyajua leo? ni zaidi ya miaka kumi mlikuwa wapi kumpeleka mahakamani.
 
Mleta "siledi" uko sahihi kabisa. Pia huko atakapohamia ataoshwa kwa JIKI na FOMA hadi aonekane mwema japo kwa sasa anapondwa na kutukanwa kila kona hasa hapa JF kila kukicha. Maana kila anayehamia huko ANATAKASWA, kwa hiyo hata YOHANA atakuwa mzuri na kutetewa kwa nguvu zote.
 
Kwani Nyarandu anasingiziwa? Twiga walihama mikononi mwaka, Alionekana mbashara kwenye picha akiendesha matanuzi na mademu bila aibu, amejimilikisha vitaku kibao na ducument zipo wazi. Sasa haya machache yenye ushahidi je anaonewa? Chadema walimshambulia wao wenyewe na clip zipo je wakimsingizia ?
Mmezijua baada ya kujiondoa ccm?
 
Mleta "siledi" uko sahihi kabisa. Pia huko atakapohamia ataoshwa kwa JIKI na FOMA hadi aonekane mwema japo kwa sasa anapondwa na kutukanwa kila kona hasa hapa JF kila kukicha. Maana kila anayehamia huko ANATAKASWA, kwa hiyo hata YOHANA atakuwa mzuri na kutetewa kwa nguvu zote.
Literally unakiri ni mbovu na ni wa hovyo kabisa!
Amazing!!!
 
Ukijua kuwa Mali Asili zote nchini ni mali ya wananchi ambao wengine hawana vyama na haifai kudhulimiwa ujue ni mbaya na dhambi ya dhulma huwa inaunaumbuka bado mzurumaji akiwa hai
Hivyo ukiwa ccm aukadhulum wananchi hata ungekua umefikia cheo kipi lazima siku moja utajiuumbua au utaumbuliwa haya mambo hayana uchama hat a vyama vingine yatakuja tokea ikiwa tu mtu atawadhulum wananchi kwa namna yoyote
 
Back
Top Bottom