Kwa CCM hii, leo Magufuli akihama chama ataambiwa ni fisadi

Pumbavu kabisa,kumbe huwa wanawajua kuwa wanamakosa lakini wanawabeba na kuwaficha eti tu sababu ni wana CCM?,wakiondoka ndo wanawaanzishia timbwili,km kweli wana ubavu wawatoe wote waliotenda makosa either ya sasa au ya uongozi ulopita,...tunajua wote ndani ya CCM ni wachafu hadi mkuu,wakisema wawaondoe wachafu basi chama chote kinaisha,ndio maana wanaanzisha timbwili Kwa aliyeondoka ili wengine waogope na wasithubutu kutoka ili kujilinda.....
 
And verse versa is true, pia ni wachafu mpaka pale watakapohama ccm.
Hapo ndipo wanasiasa unishangaza.
Usimuamini mwanasiasa hata kiutani utani
Wanasahau kuwa huo uchafu wanaowasemea waliufanyia wakiwa CCM..........So CCM ni chama kinachowafuga wachafu (wakibaki CCM uchafu wao hautokaa usemwe hadharani) pit.
 
Ndio maana daima naamin siasa ni unafiki,


akiwa kwetu ni msafi akiondoka mbaya
Akiwa kwao mbaya akija kwetu msafi.
 
Unafki na uswahili utaendelea kuiangamiza taifa hili. Ubaguzi wa huyu ni wa kwetu hauwezi kutuacha salama
 
Kwani Nyarandu anasingiziwa? Twiga walihama mikononi mwaka, Alionekana mbashara kwenye picha akiendesha matanuzi na mademu bila aibu, amejimilikisha vitaku kibao na ducument zipo wazi. Sasa haya machache yenye ushahidi je anaonewa? Chadema walimshambulia wao wenyewe na clip zipo je wakimsingizia ?
Swali ni moja, mbona hamkuyasema hayo wakati akiwa bado ccm? Hii inamaana kwamba ccm wanalinda wahalifu na mafisadi wakiwa kwao wakisubiri kuwashughulikia wakirudi upande wa pili na huo ndiyo uzalendl was def ya maccm.
 

Kutokana sakata la mh nyarandu kuihama ccm, wanasiasa mbalimbali wametoa ya moyoni mwao ambao wakongwe wa ccm wamedai ameshindwa kwendana na kasi ya rais JPM. Mbungwe Joshua nassari hakusita kutoa ya moyoni kujibu tuhuma hizo kupitia account yake ya twitter kwa kuandika ya fuatayo.
Siwashangai uvccm wakimsema Nyalandu kuhusu Mali asili.
Najua ipo siku Magufuli nae akihamia Chadema watasema aliuza Nyumba za serekali.
— Joshua Nassari (@joshua_nassari) in twitter
usisahau kutembelea edusportstz kwa ajili ya habari za mastaa na viongozi mbalimbali katika kipengele kipya cha uwanja wa mastaa
 
Kwani Nyarandu anasingiziwa? Twiga walihama mikononi mwaka, Alionekana mbashara kwenye picha akiendesha matanuzi na mademu bila aibu, amejimilikisha vitaku kibao na ducument zipo wazi. Sasa haya machache yenye ushahidi je anaonewa? Chadema walimshambulia wao wenyewe na clip zipo je wakimsingizia ?
Chadema ya juzi sio Chadema ya leo.Kuna wakati wanakula matipishi yao,tusema huyo CCM anapunguzia maovu yake kwa Chadema.
Na Chadema bila kujuwa wamegeuzwa kinyonga na popo.
 
Back
Top Bottom