Kwa busara hii, nakuunga mkono Mh. Idd Azani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa busara hii, nakuunga mkono Mh. Idd Azani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwenyenguvu, Jul 3, 2012.

 1. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asubuhi waziri wa viwanja vya michezo aliulizwa na mnyika aliuliza hivi: kwakuwa viwanja kama ccm kirumba,sokoine, n.k vilijengwa na umma wakati chama kikiwa ccm pekeyake kwani visikabidhili serikalini ili viwe vya uma,waziri akachomoa na kusema mambo mengi kuwa ccm bado ina uwezo wa kuvihudumia, na vilijengwa na wa CCM wenye moyo.

  Sasa akaibuka Mh. Azan(ccm), mskini! bila kujua kuwa anamtia mtegoni waziri wa ccm ambaye alitoka kujigamba kuwa mambo yako sawa na ccm inavihudumia viwanja, akamuuliza hivi,nanukuu "Mh. Mwenyeki, kwa kuwa pitch(sehemu za kuchzea) katika viwanja hivyo vyote ni mbovu sana hivyo CCM haina ni busara basi walau kuomba serikali iviwekee walau nyasi za bandia?

  Mwiso wa nukuu,waziri alijibu kwa wepesi sana kuwa hilo wala sio tatizo. Sasa angalia,mbuge wa ccm anajua kuwa wameshindwa kuvitunza viwanja,na kwa busara sana akajua waziwa wa CCM angetumia akli walau kutegua swali lile,lakini alishindwa kung'amua, jamaa aakajibu kisiasa tena kwa mbwembwe!!,naomba ccm kama itaweza iwajumuishe watu kama akina azani kwenye mipango yako kiserikali
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mmmm Zungu, Mbuge wa Mijini. Anajua kukamata kuku bila kamba.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hivi sasa nadhani anaangaika kuandika maelezo, NI KWA NINI ALIULIZA SWALI KAMA LILE?
   
 4. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Iddi Azzan ni nduguye Zungu (sahihisho mkuu)
   
Loading...