Kwa binti mrembo ... Dar ni mahali sahihi kabisa pa kuishi

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,313
1,363
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar

Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenye degree na masters

Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani

Kwa Dar, watu wako tayari kuwekeza kwa binti mrembo kuliko walivyotayari kuwekeza kwenye vipaji na business idea

Kwa Dar, ukiwa mrembo utamiliki gari ukiwa binti mdogo kabisa kuliko mikoa mingine Tz

Kwa Dar, binti mrembo kulala njaa ni kwa kujitakia tu ila kuna kila resources za kumtunza binti mrembo

Note: ukiwa mrembo na ukajaliwa na mswambanda wa maana...jihesabu miongoni mwa watu waliobarikiwa zaidi Tz.

Uzi tayari.

# try to prove me wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungewashauri watafute sponsors tu yaani wadange/wajiuze/watumie miili yao kupata kipato.

Biashara chafu tu hii, na atakongoroka sio mda akiingia kichwa kichwa.
 
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar
Sijazaliwa dsm, ila nimeishi dsm tangu maisha yangu ya sekondari, high school hadi university, na nikaanza kufanya kazi hapo enzi hizo serikalini, na ilipofika mwaka 2012, na kwa mara ya kwanza kabisa nilinunua kiwanja mil.12 kimara. mdogomdogo nikaendelea wee ila ikafika kipindi nikaondoka na kuhamia mkoani ndiko niliko hadi sasa.

Nimepitia maisha magumu sana, na baadaye breakthrough right there in DSM, ila nilipoondoka na hiyo breakthrough yangu kwenda kuishi nayo mkoa fulani hivi kati ya nitakayoitaja, nimeona mafanikio kwenye ninachokifanya yanaenda haraka mara dufu kuliko ningekuwa dsm.

Kwa ushauri wangu kwa vijana, wa kiume na wakike, usiishi DAR kama hauna kazi nzuri au biashara nzuri iliyosimama. ukiona wewe ni mwajiriwa wa kawaida tu au biashara za kawaida tu, kimbilia mkoani. na mikoa ambayo mtu akiishi kwa akili anaweza kutoka haraka ni ARUSHA, DODOMA, MWANZA na GEITA. atakayefuata ushauri huu atakuja kunishukuru.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom