Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,207
- 3,059
ThibitishaWewe masikini
Masai ndio mikanda yangu hiyo kuna siku nilienda karume kununua mkanda wa ngozi wananiambia 30k mara 50k nikaona isiwe tabu mikanda yenyewe imeshavaliwa bhana ngoja nipitie kwa masaiKungekuwa hakuna wateja wangekuwa washafunga maduka yao.
Nadhani hatufanani, mtu kama Mo hawez kwenda kupanga folen kkoo kununua mkanda, au hawez kusubir masai apitishe ndo anunue.