Kwa bajeti ya Tsh laki 3 hadi 4 napata Samsung gani?

A30 Ni laki 4 na kitu, Ni nzuri zaidi.

Otherwise nunua A10 kwa around 250k
Boss kwa hii 250K kweli kuna uhakika wa kupata A10 ? Maana ukienda TIGO SHOP hapa shinyanga ni 320 , A30 ni laki nne na ngapi ? Ili tuwe na uhakika .
 
Boss kwa hii 250K kweli kuna uhakika wa kupata A10 ? Maana ukienda TIGO SHOP hapa shinyanga ni 320 , A30 ni laki nne na ngapi ? Ili tuwe na uhakika .
260K for sure, 250K nimeweka Kama reference Ila naamini ukitafuta vizuri unapata.

Kupata uhakika wa Bei tumia jumia, kwenye jumia huwa watu wananunua tu maduka ya kariakoo na wanaongeza Bei kidogo. Mfano A30 Jumia Ni around 480,000 Hivyo mtaani tegemea iwe around laki 4 mpaka 4 na nusu.
 
dah hzo A10 na nk naziona kama za kichina tu asante sana kwa S8+ series hakika hutojutia
 
Kuna mdau humu alikuwa na duka lake anatangaza anaziuza kwa 260K nimeutafuta Uzi sijauona.

Pia Mimi mwenyewe nimewahi Kuinunua Aggrey kwa 260K.


Cha muhimu hakikisha box lake lipo sealed na ile sticker ya warranty.
Asante
 
Back
Top Bottom