Mkuu unashauri vp hii A20, kwaubora wa picha na perfomanceA30 Ni laki 4 na kitu, Ni nzuri zaidi.
Otherwise nunua A10 kwa around 250k
Wewe A10 laki mbili na nusu tangu lini ?A30 Ni laki 4 na kitu, Ni nzuri zaidi.
Otherwise nunua A10 kwa around 250k
Kuna mdau anauza 260K humu, na ukitafuta vizuri mtaani unapata Bei nzuri zaidi.Wewe A10 laki mbili na nusu tangu lini ?
Performance hizi A series zote zipo vizuri, Ila camera Ni za kawaida sana, advantage ya A20 over A10 Ni amoled display sema still kioo Ni 720p, hivyo quality yake Ni ya kawaida Sana.Mkuu unashauri vp hii A20, kwaubora wa picha na perfomance
Kwenye A series, A30 ndio atleast ina specs.A30 Ni laki 4 na kitu, Ni nzuri zaidi.
Otherwise nunua A10 kwa around 250k
Jumia now Ni 449,000Kwenye A series, A30 ndio atleast ina specs.
I use it. Ila hiyo bei ya laki 4 na kitu wapi mkuu?
Hivi kitu gani kinafanya hizi simu ziwe cheap? Ni hii plastic body na ukosefu wa IP rating na yale ma heart rate sensor tu, au kuna sehemu nyingine Samsung wame cut corners?Jumia now Ni 449,000
Hapa kwetu ni 350k kwa 300k aiseKuna mdau anauza 260K humu, na ukitafuta vizuri mtaani unapata Bei nzuri zaidi.
Hapa kwetu ni 350k kwa 300k aise
Ndio bei yake. Ukiuziwa zaidi ya hapo umeibiwaWewe A10 laki mbili na nusu tangu lini ?
Huku niliko maduka hayauzi kwa bei hiyo at tigo shopNdio bei yake. Ukiuziwa zaidi ya hapo umeibiwa
Hapo sawaZimeshuka juzi nimemnunulia mwamba kwa 260
Wame outsource kwa odm, Kuna kampuni ya kichina (inayotengeneza simu za xiaomi) ndio inatengeneza hizi simu,Hivi kitu gani kinafanya hizi simu ziwe cheap? Ni hii plastic body na ukosefu wa IP rating na yale ma heart rate sensor tu, au kuna sehemu nyingine Samsung wame cut corners?
A30 imenifanya niamini huhitaji simu ya mamilioni.
Upo sahihiJumia now Ni 449,000
Hapa sasa nimeelewa. Asante chiefWame outsource kwa odm, Kuna kampuni ya kichina (inayotengeneza simu za xiaomi) ndio inatengeneza hizi simu,
Wame outsource kwa odm, Kuna kampuni ya kichina (inayotengeneza simu za xiaomi) ndio inatengeneza hizi simu,
Kuna standards ndio sema vision yake Sasa, Ni kufuata trends, hivyo simu zinakuwa sio original na innovative Kama tulivyowazoea Samsung.I hope Samsung watakua wamewapa standards zao wanazozitaka hata kama wao hawahusiki moja kwa moja.