Kwa bajeti ya Tsh laki 3 hadi 4 napata Samsung gani?

Jumia now Ni 449,000
Hivi kitu gani kinafanya hizi simu ziwe cheap? Ni hii plastic body na ukosefu wa IP rating na yale ma heart rate sensor tu, au kuna sehemu nyingine Samsung wame cut corners?

A30 imenifanya niamini huhitaji simu ya mamilioni.
 
I hope Samsung watakua wamewapa standards zao wanazozitaka hata kama wao hawahusiki moja kwa moja.
Kuna standards ndio sema vision yake Sasa, Ni kufuata trends, hivyo simu zinakuwa sio original na innovative Kama tulivyowazoea Samsung.

Sema sio mbaya, kwa Bei yake zinasaidia Sana. Watu wasiojali wanaotaka simu isiyo na mbwembwe Ni nzuri Sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom