Kwa bajeti ya Tsh laki 3 hadi 4 napata Samsung gani?

Performance hizi A series zote zipo vizuri, Ila camera Ni za kawaida sana, advantage ya A20 over A10 Ni amoled display sema still kioo Ni 720p, hivyo quality yake Ni ya kawaida Sana.
Kioo cha 720p na 1080p vina tofauti gan??
 
Kioo cha 720p na 1080p vina tofauti gan??
Vina idadi ya pixel tofauti.

720p kunakuwa na pixel Kama milioni 1
1080p kunakuwa na pixel Kama milioni 2

Hizo pixel zinatakiwa ziwe ndogo mpaka jicho la mwanadamu lisizione ndio unaona picha vizuri, ila jicho likianza kuona pixel basi picha nayo inakuwa haina quality,

Kwa jicho la mwanadamu kioo Cha chini ya inch 5 kikiwa umbali wa karibu na jicho 720p Ni sawa haina tatizo Ila kioo kikizidi 5 inch 1080p Ni nzuri zaidi.

Pixel Ni vidoti kwenye kioo ambavyo vinaonesha picha. Mfano wa kioo ambacho kimekuwa zoomed in na unaoona pixel
800px-PixelsLCDMonitor.JPG
 
A series bora kuanzia A30 lkn A10 &A 20 cjaona maajabu kwenye camera camera zake ziko sawa na tecno hasa selfie camera,kwa mpenda picha hiz cm hazimfai japo kama mpenz wa performace ya cm sawa
 
Mkuu unazizungumziaje phantom series za tecno?

Back
Top Bottom