Kwa bajeti ya laki 3 hadi 4 napata Samsung gan

Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,742
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,742 2,000
WHAT BOUT M SERIES?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,639
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,639 2,000
Mkuu unashauri vp hii A20, kwaubora wa picha na perfomance
Performance hizi A series zote zipo vizuri, Ila camera Ni za kawaida sana, advantage ya A20 over A10 Ni amoled display sema still kioo Ni 720p, hivyo quality yake Ni ya kawaida Sana.
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,879
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,879 2,000
A30 Ni laki 4 na kitu, Ni nzuri zaidi.

Otherwise nunua A10 kwa around 250k
Kwenye A series, A30 ndio atleast ina specs.

I use it. Ila hiyo bei ya laki 4 na kitu wapi mkuu?
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,879
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,879 2,000
Jumia now Ni 449,000
Hivi kitu gani kinafanya hizi simu ziwe cheap? Ni hii plastic body na ukosefu wa IP rating na yale ma heart rate sensor tu, au kuna sehemu nyingine Samsung wame cut corners?

A30 imenifanya niamini huhitaji simu ya mamilioni.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,639
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,639 2,000
Hivi kitu gani kinafanya hizi simu ziwe cheap? Ni hii plastic body na ukosefu wa IP rating na yale ma heart rate sensor tu, au kuna sehemu nyingine Samsung wame cut corners?

A30 imenifanya niamini huhitaji simu ya mamilioni.
Wame outsource kwa odm, Kuna kampuni ya kichina (inayotengeneza simu za xiaomi) ndio inatengeneza hizi simu,
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,639
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,639 2,000
I hope Samsung watakua wamewapa standards zao wanazozitaka hata kama wao hawahusiki moja kwa moja.
Kuna standards ndio sema vision yake Sasa, Ni kufuata trends, hivyo simu zinakuwa sio original na innovative Kama tulivyowazoea Samsung.

Sema sio mbaya, kwa Bei yake zinasaidia Sana. Watu wasiojali wanaotaka simu isiyo na mbwembwe Ni nzuri Sana.
 

Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,451
Top