Kwa application za degree kwa wenye Diploma

Guidebook mliokuwa mnaitaka mmeshawekewa teyarrr ingia kwenye tovut ya tcu
 
uploadfromtaptalk1471295649914.png

Chini ya hapo utabaki daraja la kati
Elimu ya juu utaisikia kwenye bomba
 
Baada ya kuona wamefungua ikanibidi, nikacheki gem ya Chelsea vs west ham pia Chelsea wameshinda yaan mzuuka wa kufanya application ukaongezeka, maana ningekua namastress endapo Chelsea ingefungwa.
 
Back
Top Bottom