Computer4Sale Kwa anayetaka hii Desktop anipe 70000 tu

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
252
153
nakupa CPU na MONITOR ya LG ambayo ina ukubwa wa 25"( monitor ukiplay video haioneshi vizuri lakini linafaa kwa kusomea na mambo mengine), ipo VGA, na power mbili( wire) ina ram 380( ddr 1) mb, ina slot 2 za ram tu( ram moja ina 128 mb na nyingine ina 256mb) ina window xp, mlango wa dvd uko vizuri, hard disk 100gb, ( hapa unaweza kuweka hard disk ya SATA pia sijui kama ndo inaitwa hivyo( mtaalam wangu kanambia inatumia na sata pia).

Niko DAR ES SALAAM. (Kitunda)

0756319141
mambo yasiwe mengi. nakupa vyote kwa 70000 tu.

IMG_20200204_145818.jpeg
IMG_20200204_145733.jpeg
IMG_20200204_145501.jpeg
IMG_20200204_145751.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom