isaac vitalis shirim
Member
- May 15, 2013
- 14
- 2
4m4 waliopass kwenda 4m5 shule zinapangwa lini kwa anaejua?na tunaenda lini shule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4m4 waliopass kwenda 4m5 shule zinapangwa lini kwa anaejua?na tunaenda lini shule?
What will be ready within this week..
wat abt POSTS?
Zinatoka tarehe 15 mwezi huu,mm nilienda kuifata yangu pale baraza wakakataa na kusema tarehe 15 zitakuwa zimefika mashuleni.
Nenda private ukapige msuli govt mizunguo usije ukajuta mwishoni.
Nenda private ukapige msuli govt mizunguo usije ukajuta mwishoni.
Kwani huko private watu hawafeli? Jitihada binafsi tu ndio zinazohitajika unaweza ukawa na mazingira mazuri lakini kma hautakuwa na jitihada ni sawa na bureee.