Wana JF naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua picha zinazopigwa kwa walimu bila maelezo ni za nini? Huku wilayani Mufindi leo ni siku ya tatu TASAF wanapiga picha bila maelezo. Mimi sijapigwa maana ningeuliza wale wote waliopigwa ukiwauliza nao hawajui. Kwa mwenye taarifa naomba kujuzwa