Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Nov 5, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wadau,kama kuna mtu anaejua askari wa uhamiaji wanalipwa kias gan kwa mwezi anijuze tafadhali.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kuna issue ipi mkuu?
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu,me nataka tu kufanya maandalzi,c unajua tena hapa tz,kazi za uaskari ni za watoto wa wakulima kama sis.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  najua utakuwa unauliza hili kwasababu umeshaona wafanyakazi wa migration wana maisha BORA.
  Mishahara yao ni ya kawaida kabisa kama idara nyengine za serikali. Kinachowaweka mjini kununua magari mazuri kila siku, kujenga manyumba kila mji, ni MRADI WA SERIKALi(rushwa). Wanapiga rushwa ndefu sana.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ila ningependa nijue wanalipwa bei gan ndugu yangu.
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,370
  Trophy Points: 280
  Itategemea unaingia kwa sifa zipi, wapo maafisa wataalamu (wengi huwa ni wenye stashahada, shahada na kuendelea) hawa huangukia katika kundi la kukaribia kilo nne, ukiingia kama askari (idara hii iko ndani ya wizara ya mambo ya ndani/usalama wa raia) mshahara wake ni kama askari polisi, naimani wapo walio na habari zaidi watakuja kukueleza
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  asante,nimekusoma mkuu!!
   
 8. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Laki tatu na nusu mwenye shahada ya kwanza.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hyo ndo take home au?
   
 10. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndo maana yake ila dili ndo zinawatoa.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  labda ubahatike upangwe mipakani huko
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  na vip ukipangwa sehemu kama air ports let say KIA au jk nyerere?
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dili zenyewe si ndo kama rushwa au?
   
 14. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kule mishahara ni ya mafungu kama kawaida ila kama ukipangwa boda la maana, utabangua dengu (rushwa) mpk mama mkwe wako akutamani kwa mapato. Ila usituchuze bana, mtoto wa mkulima apewe na nani kazi ya uaskari, labda wa Knight Support kwenye mshahara wa laki 1 basic
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo me siwezi pata huko mkuu?
   
 16. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita wakuu.....uaskari na mii mmmmm!
   
 17. s

  siyenda Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mishahara ni ya kawaida tu,aliyeajiriwa kwa cheti cha form iv kuanzia laki mbili na thelathini,form vi,kuanzia 270000-330000 na diploma bado hawajaanza kuiweka kwenye skeli yao ya ulipwaji mishahara,advanced diploma na graduate mwenye digrii 1 anaanzia laki tano na elfu moja kwa sasa.nimekwambia kitu halisi.ukitaka nikudavulie zaidi nipm.
   
 18. s

  shaliza Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natafuta kazi za kwenye mashirika ya simu anayejua kama zimetoka nafasi tafadhali anijuze mwananchi mwenzenu. nina diploma ya marketing na public relation.
   
 19. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Me 4m 6 liva nataka njiunge uhamiaji, ntapataje chance
   
 20. K

  Kipilime Senior Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana Senator so kumbe unatafuta kazi sasa. Nakuonea huruma mdogo wangu kwa maana mchakato wa utafutaji hauangalii umesoma wapi. Yule ni Pharao asiyemjua Joseph. Waajiri hawangalii umesoma UDSM, Makerere, Birmigham au Manchester. Ndipo utakapo washangaa wenzako wanapata kazi hasa wale ambao hukuwategemea kama vile wa Mzumbe. Arguments zako siku zote za kuponda vyuo vingine zaidi ya UDSM na SUA utazifanyia sala ya toba. Utagundua pia kumbe hazikuwa za kweli, lkn utakuwa ni wakati wa majuto ni mjukuu.

  Lakini usijali dogo utaenda Uhamiaji ndipo utakapo pelekwa mafunzo pamoja na form six leavers. Kama ukiota kwenda Airport basi unaweza ukapangwa Mwanza au Tabora kwa maana zote zinawahitaji. Vingenevyo mipaka ni mingi sana na huko ndiko Rushwa itakapo kuwa mkate wako wa kila siku. Poor Senator, Poor Senator. Usijali utapata kazi mdogo wangu.
   
Loading...