Kwa anayejua jinsi ya kuhama kutoka blogger na kuhamia wordpress anisaidie

Kottamedia

Member
May 5, 2019
20
3
Kwa anae jua jinsi ya kuama kutoka blogger na kuamia wordpress na domain yangu ikiwa ile ile pia vitu nilivyo post kwenye blogger niame navyo msaada kwa anae jua swala ili domail nime nunua kipitia godaddy

Sent using jamii forums mobile app
 
anza kwa kutoa ile domain blogger kisha nunua hosting plan yako comfigure wp yako kule kenye cpanel chagua free themes nenda bloggler download post zako zote kuja wp ina zi import kaz imeisha
 
Kwa anae jua jinsi ya kuama kutoka blogger na kuamia wordpress na domain yangu ikiwa ile ile pia vitu nilivyo post kwenye blogger niame navyo msaada kwa anae jua swala ili domail nime nunua kipitia godaddy

Sent using jamii forums mobile app
Habari, naomba nitumie ujumbe WhatsApp 0672 999 266 nikutumie video ya maelekezo [ BURE ]
 
Back
Top Bottom