Hapana Hilo tatizo huwa na visababishi vingi maana haregei Bali kuta hukaza na kusababisha nyufa Sasa kwakuwa nyama kule Ni laini Sana na Kuna Lea kadhaa na huvutika hivyo ni rahisi kuotaBila shaka ni memba wa tovuti pendwa🤪🤪
Pambav😀😀Nimesoma hilo neno anal nimedinda
Pole
Medical therapy for Anal FissureWadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu....
bawasiri na anal fissure ni vitu 2 tofati japo vinafananaHabari
Labda kama umetaka kutumia tafsida
unless otherwise
Naamini unaongelea ugongwa wa
Bawasiri/homoroids
Kama ndio
Search kuna nyuzi nyingi sana huku ndani
Zinaelezea namna ya kutibiwa kujitibu na ukishindikana kabisa
Unapaswa kuhai hospital
Bila shaka alitibiwaPole sana, nenda hospitali...
Mkuu,Wadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu.
Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na operation? Au ni mpaka operation tu ndo solution
Note: Hii kitu sio Bawasiri (hemorrph)
Naombeni majibu wadau kwa ambae anajua hili swala

Mjmi naweza kuuponesha njoo 0712505049dawa yangu ya kupaka tu haiumi nishaponesha wengWadau habari za jioni?