Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

Wadau habari za jioni?

Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu....
Medical therapy for Anal Fissure
Laxative/Stool softeners
Sitz baths with Dettol
Intra-anal Topical Nitroglycerin
Botulinum toxin Injection
Hizo zikifail then surgery ndio next option
 
mambo vp mkuu naomba kujua maendeleo yako kma ulipona mimi nmesa theead yako nmeielewa vizuri ni anal fissure lakin watu wanasema n bawasiri wakati ni magonjwa tofauti .vp ulipona kwa kutumia dawa gani
 
Habari
Labda kama umetaka kutumia tafsida
unless otherwise
Naamini unaongelea ugongwa wa
Bawasiri/homoroids
Kama ndio
Search kuna nyuzi nyingi sana huku ndani
Zinaelezea namna ya kutibiwa kujitibu na ukishindikana kabisa
Unapaswa kuhai hospital
bawasiri na anal fissure ni vitu 2 tofati japo vinafanana
 
Wadau habari za jioni?

Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu.

Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na operation? Au ni mpaka operation tu ndo solution

Note: Hii kitu sio Bawasiri (hemorrph)

Naombeni majibu wadau kwa ambae anajua hili swala
Mkuu,

Tengeneza juisi ya ukwaju unywe asubuhi mchana na jioni.

Kula sana mapapai yaliyoiva vizuri.

Kula ndizi mbivu.

Hizi ni dawa za asili, utapata choo laini
 
Mjmi naweza kuuponesha njoo 0712505049dawa yangu ya kupaka tu haiumi nishaponesha weng
 
Back
Top Bottom