Kwa anayejua gharama za uchapishaji wa magazine

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Wadau wa JF naulizia kama kuna mtu anajua gharama za uchapishaji wa coloured magazine size A4 ya page 48 inarange kwenye sh ngapi au anayejua mtu anayefanya hizo business za printing ani hook up naye...Natanguliza shukrani.
 
Gharama ya kuprint inategemea pia idadi ya copies unazoprint. Copy zinapokuwa nyingi, per copy cost inapungua. Jamana Printers wako pale Quality Plaza ni wazuri lakini gharama zao ziko juu. Just to give you an idea, niliprint magazine ya 28 pages, 2000 copies ilicost 3.5M
 
Owkeey...thats why nilikua nataka kujua inakuaje kuhusu makampuni mengine ya uchapishaji. Asante kwa information
 
WEWE UJATULIA KABISA HALAFU UKIJUA UTAFANYAJE NA WAKATI MWENZIO AMEKUELEKEZA SEEHEMU YA KUPRINT ILO MAGAZINE LAKO :photo:
 
Wadau wa JF naulizia kama kuna mtu anajua gharama za uchapishaji wa coloured magazine size A4 ya page 48 inarange kwenye sh ngapi au anayejua mtu anayefanya hizo business za printing ani hook up naye...Natanguliza shukrani.
mangi mpigie dogo huyu kazi zake yuko kinondoni yeye ni graphics designer
 
Gharama ya kuprint inategemea pia idadi ya copies unazoprint. Copy zinapokuwa nyingi, per copy cost inapungua. Jamana Printers wako pale Quality Plaza ni wazuri lakini gharama zao ziko juu. Just to give you an idea, niliprint magazine ya 28 pages, 2000 copies ilicost 3.5M

Thanx mkuu, na mimi nimevuna kitu hapo!
 
WEWE UJATULIA KABISA HALAFU UKIJUA UTAFANYAJE NA WAKATI MWENZIO AMEKUELEKEZA SEEHEMU YA KUPRINT ILO MAGAZINE LAKO :photo:

Jamana napafahamu na kwenye comment zake kaniambia ni expensive sana kama ninavyojua wana kazi nzuri ila bei kidooogo iko juu, mimi nataka sehemu affordable, sijatulia wapi sasa? halafu si kazi yako kujua nikijua ntafanyaje kwani we thread yako?
 
Back
Top Bottom