HAbari wana JF,
Kuna hii ofisi mpya cha kutengeneza magari ya aina mbalimbali kinaitwa auto express kipo karibu na njia ya kuingilia vingunguti barabara ya Julius K. Nyerere,kuna anayefahamu gharama zake na huduma zao kiuhalisia na sio kwa kusoma kwenye gazeti au mtandaoni?
Naomba msaada tafadhali,ahsanteni.