Kwa anayehitaji secretary, au muuza duka mwenye uzoefu nipo hapa!

MAANAX

Member
Dec 9, 2012
36
2
Natafuta kazi mojawapo kati ya shopkeeper na secretarian. Cheti cha computer ninacho. My contacts are 0756525889, 0757191544
 
Tatizo lenu ni wezi. Mkiwekwa kwenye stationary mkitype barua na kuiprint kama boss hayupo hiyo hela haifiki kwa mwenye nayo.
 
Tatizo lenu ni wezi. Mkiwekwa kwenye stationary mkitype barua na kuiprint kama boss hayupo hiyo hela haifiki kwa mwenye nayo.

Not all of them. But that's like a precaution to both Stationary Bosses and Employees.
 
Back
Top Bottom