Kwa anayehitaji mchumba-wanawake tu

Gilka

Member
Nov 16, 2012
39
5
Wakuu samahani, mi ndiyo post yangu ya kwanza ila naombeni mnikaribishe kwenye jukwaa. mimi nina umri wa miaka 31, natafuta mchumba kuanzia :A S-baby::A S cry:miaka miaka 20 hadi 25. awe na Elimu kuanzia kidato cha nne na awe mfanyakazi, mwalimu atapewa kipaumbele. awe mlokole . mimi nimemaliza chuo kikuu na ninafaya kazi kwenye shirika moja. Naishi ARUSHA
 
Karibu sana, ila post ya kwanza wenzio wanaanza kusalimia...... (kuzuga tu ili wajulikane wapo), lol!
mimi sitafuti mchumba, mimekuja kukukaribisha tu na kukutakia kila la heri katika utafutaji wako......
umeshajua jinsi ya kusoma na kutuma PM? maana tegemea majibu huko PM
 
chuga uko maeneo gani? ila tatizo miye cyo mwalimu wala mlokole nadhani cyo rizki......... Preta et kujeni pande hii kuna mdau wa chuga huku lol
 
Last edited by a moderator:
karibu kwenye mkeka vilivyo sebuleni waruhusiwa kula vya chumbani sio size yako,kila la kheri ktk utafutaji swali la nyongeza vp kanisani hujaona?
 
chuga uko maeneo gani? ila tatizo miye cyo mwalimu wala mlokole nadhani cyo rizki......... Preta et kujeni pande hii kuna mdau wa chuga huku lol

hapo kwenye ulokole si nitamsababishia tornado......tuhesabu nimemkosa......kwa leo.....
 
Gilka,kuna dada mmoja mzuri pale kwenye kwaya kanisani,na ni mwalimu.hudhuria mazoezi na uombe kujiunga na kwaya labda utampata
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana, ila post ya kwanza wenzio wanaanza kusalimia...... (kuzuga tu ili wajulikane wapo), lol!
mimi sitafuti mchumba, mimekuja kukukaribisha tu na kukutakia kila la heri katika utafutaji wako......
umeshajua jinsi ya kusoma na kutuma PM? maana tegemea majibu huko PM
Mwenyeji huyo..Hana ugeni wowote....
 
Ukiona mlokole kaja humu JF kutafuta mchumba elewa kuwa ameisha haribu upepo huko kanisani, kuweni makini dada zangu, siyo baadaye mnakuja hapa na usemi wa wanaume wa siku hizi bwana, ni suluhali tu!
 
god muv ila watch out mkuu! vpi huko church kwenu mbona kondoo wengi?
 
Hauko serious mbona umepost kwenye jukwaa la tetesi? Kwa hiyo ni tetesi bado huja confirm kama kweli unatafuta mchumba??:A S-omg:
 
Hapo kwenye ulokole ndipo umeharibu mkuu....kwa nini usifunge bwana akuoteshe??

mkuu mi namshangaa jamaa,kama anataka mlokole humu jf atakesha. tumshauri alale then ataoteshwa mchumbawake ndotoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom